Search results

  1. ketwas

    Nina ujauzito wa mume wa mtu, nifanyeje?

    Hakuna heshima nzuri kama kuitwa mama au kuitwa baba,nakushauri mwambie mwenzako ili ajue kuwa familia inaongezeka.na kama atakushauri suala la kuito mimba mkatalie maana wengi wametoa ila wameishia kuhangaika kutafuta mtoto hawapa,cha msingi mweleze mapema ajue ili endapo ataikaa ujue wewe ndo...
  2. ketwas

    Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

    mimi kama mimi hata nichoke namna gani akita muda wowote nampa kwani ni haki yake kupewa huwa najiuliza kwanza pindi nitakapo mnyima atasaidiwa na nani?kutuliza mtima wake?
  3. ketwas

    TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

    danganya toto hiyo ili tujisahau
  4. ketwas

    VIDEO: Lowassa asema 'Chagua Wabunge na Mdiwani wa CCM' - Ifakara!

    Nani asiyejua hiyo imetengenezwa danganyeni watoto wadogo na sio watu wazima
  5. ketwas

    Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

    Mwaka huu ni zamu ya vijana kuleta mabadiliko kuwa na sisi tunaweza tukiamua
  6. ketwas

    Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

    UCHAGUZI 2015: Viongozi CCM Monduli wakiwemo M/kiti Swalehe Ramadhani, Katibu Anna Ernest watangaza kujiunga Chadema leo. Wasema CCM imekiuka kanuni za uchaguzi Time: 2015-08-13 18:49:16
  7. ketwas

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    mwenye s1127/0030 amechaguliwa kwenda udom
  8. ketwas

    Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

    mimi nilikuwa napenda tangazo la mafuta ya kupikia la kimbo
  9. ketwas

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo lazima niwe nayo maana nadaiwa bank
  10. ketwas

    NAUZA Tecno L3, Android Jelly Bean & faster downloads on 3G

    Tecno L3, Android Jelly Bean & faster downloads on 3G Jump to: » Features » Technical spec » Video Tecno L3 Tecno L3 Features Dual SIM connectivity with dual stand-by ensures both SIMs can be used...
  11. ketwas

    tbc inapatikana kwa friquence gan kwenye ungo!

    Wamebadilisha ili tusijue kinachoendelea bungeni hadi wamalize bunge ndo watarudisha frequency na hili tatizo liko kwa wale wenye madish ya 6" wale wa futi nane sijui kama wanashida,na hapa wamefanya vile kwa kuwa madishi mengi ya futi sita yameenea vijijini sana ila elimu ya kinachoendelea wana...
  12. ketwas

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    kaka hapa nilipo napata kilimanjaro moja moto moja baridi data kamili ni kuwa cdm-1558 na ccm -994
  13. ketwas

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Chadema kimeshinda uchaguzi wa madiwani sengerema na ifakara morogoro
  14. ketwas

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Sengerema nako chadema imechanja mbuga imeshinda
  15. ketwas

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Pia chadema imeshinda uchaguzi sengerema
  16. ketwas

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Chadema kimepata kura 1173 na ccm kura 663
  17. ketwas

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Chadema imeshinda uchaguzi wa udiwani kata ya dongobesh wilayani mbulu mkoa wa manyara,na bashnet
  18. ketwas

    Nimekuta mahela kwenye account yangu ya banki,Nifanyeje jamani?

    jina la bank usilitaje, pili nenda kazichukue kwani hata wakigundua hawawezi kukuchukulia hatua bali watakuomba kuwa wameweka hela kimakosa kwenye account yako hivyo tunaomba uzirudishe kama hutakuwa nazo wakati huo huwa wanakukopesha kama mkopo urudishe kidogo dogo.kama juzi kati hapa maeneo...
  19. ketwas

    Sijawahi kufika kileleni

    siku zote masuala ya mapenzi ni matayarisho,na sio mapenzi tu yanahitaji matayarisho,ni vitu vingi huwezi enda kuoga bila kutayarishiwa maji kwa walioolewa au kutayarisha maji kwa wale wasio oa pia huwezi amka tu na kusema unasafiri bila ya kutayarisha akili yako ikubaliane na wazo lako la...
Back
Top Bottom