Search results

  1. Negative

    Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

    Naona kajirekebisha nwdays, nimepita pale jana mchana nilichangamkiwa na haikuchukua dk 5 nikaletewa nilichoagiza...
  2. Negative

    Hakika ni mashujaa

    Pamoja na yote ambayo chama tawala na jeshi la polisi wanasema kuhusiana na vifo vya ndugu zetu pale arusha, nafsi yangu inawatambua watu hawa kama mashujaa wa kweli katika ukombozi wa KWELI katika nchi hii, damu yao haijamwagika bure, siku moja italeta uhuru.. Mungu na aziweke pema roho zao
  3. Negative

    Majaji wapingana

    Send to a friend Friday, 31 December 2010 00:14 Salim Said MJADALA wa katiba sasa umeingia sura mpya baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Jaji Omar Makungu kutaka iundwe katiba mpya inayokidhi matakwa ya Watanzania, akipingana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
  4. Negative

    Watanzania sasa tumechoka na Tanesco, tunataka suluhisho la kudumu...

    Hata kama waafrika hatuna uwezo wa kujifunza kutokana na historia, hebu tujaribu kufikiri kidogo tu, ni hasara kiasi gani nchi tunaingia kwa saa moja pale ambapo nchi inakuwa gizani?
  5. Negative

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ninachompendea furgie ni kwamba anazijua fitina za mchezo, so washabiki wa man u wala hata hatuwazi juu ya ubingwa wa uingereza mwaka huu, cha kuumiza kichwa labda kiwe kwa uefa
  6. Negative

    Watanzania sasa tumechoka na Tanesco, tunataka suluhisho la kudumu...

    Kwa muda mrefu sasa tatizo la umeme kukatika limekuwa likitokea mara kwa mara na mara nyingi ikiripotiwa kusababishwa na kupungua kwa maji katika mabwawa ya kuzalishia umeme, ndugu zangu ikiwa kila mwaka hali hii inajitokeza kwa nini Tanesco wasitafute njia nyingine ya kuwahudumia watanzania? na...
  7. Negative

    TOP 5 Political Leaders wanaopendwa na Watanzania kwa mwaka 2010

    Mjomba hivi unatumia dozi, nashauri uimalizie nadhani utaweza kupona, tuseme huna macho, basi hata masikio? au nyie ndo wale majizi yaliyoshiriki kuwaibia watanzania haki zao???
  8. Negative

    Kweli huu ndo msaada wa elimu zetu?

    Mambo ya ndoa ni vigumu kidogo kungilia dada yangu, kilichoniuma ni namna tu anavyodhalilisha dada zetu, makali ya spirit ndani ya k, sijui wenye nazo mnasemaje, hebu nipe hali halisi ili kama ni fresh nami niachane na Kondom, nadhani hata sperm zitapita zimekufa..
  9. Negative

    Mnahonga mnapopenda au kuna kitu mnataka?

    Mwanaume kamili hatoi hela kwa demu mpaka amemjua kwanza, huyo ndo wale wenye allegy na kutongoza ama domo zege, anajaribu kutumia alichonacho ili kuandaa mazingira siku ya kuomba game asitumie maneno mengi
  10. Negative

    Kweli huu ndo msaada wa elimu zetu?

    Nimewahi kufanya kazi kwa kipindi fulani katika Hospital ya Muhimbili, nikiwa pale nilikuwa nikisikia habari ambazo ni ngumu kidogo kuzirasimisha kutokana na unyeti wake. Kuna daktari mmoja ambaye pia ni proffessor wa taaluma hiyo ya uuguzi, mtu huyu hutumia pesa zake na nafasi aliyonayo...
  11. Negative

    Inaboa sana tena sana...

    Napendekeza ujitoe...
  12. Negative

    T-shirt za dr slaa

    Vipi kwa wale ambao hawakumpigia kura Dr Slaa, does it mean hawana haki za kununua, vipi kwa wale ambao hawakuwa na haki ya kushiriki uchaguzi, naunga mkono wazo lakini napinga statement hii, ina ubaguzi wa hali ya juu..
  13. Negative

    Habari wanajf!

    Nashukuru mkubwa, kama nawe mgeni basi karibu pia, sote tujumuike katika kuchangia midaharo na mambo mengine yenye tija katika taifa letu..
  14. Negative

    Vacancy TANESCO

    Ama kweli gongo hainuswi!
  15. Negative

    Habari wanajf!

    Nashukuru kaka, nimekaribia tayari..
  16. Negative

    Habari wanajf!

    [/COLOR] Mkubwa unatumia dozi? nashauri uimalizie...., endapo kuna maelekezo yoyote kwa wageni wa jamvi naamini yangewekwa katika ukurasa wao na si kuwatumia smati na judith!
  17. Negative

    Habari wanajf!

    Naamini wote mko vizuri, nafurahi kupata fursa ya kuwa mmoja kati wanachama wa jamvi hili, naomba kupata baraka zenu wakubwa...
Back
Top Bottom