Search results

  1. Ncha ya Upanga

    Mwalimu Julius Nyerere alikuwa nabii

    hivi unafikiri unabii unapewa tu kama cheo cha mkuu wa wilaya eeh?
  2. Ncha ya Upanga

    Kikombe cha Mbeya kiboko

    sio wote, sema waliopiga kikombe!
  3. Ncha ya Upanga

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Acheni kumshabulia mtoa mada lazima tujiulize maswali ya msingi 1. huyo babu anatudhibitishia vipi kama hiyo ndoto haijatoka kwa shetani? 2. Nakama watu wamepona ukimwi mbona hawaendi kudhibitisha kwa kupata vipimo vya maabara? 3.kuna viongozi walioenda kupata kikombe kama sumaye, mrema ambaye...
  4. Ncha ya Upanga

    Rombo kama Loliondo!

    Hivi kwanini watanzania mmekuwa rahisi kudanganywa kiasi hiki, kwa mwendo huo mtaendelea kunyweshwa sumu huku mnajiona, tusubiri side effect ya hizo sumu, nachelea tunaweza kupoteza watu wengi wakiwemo viongozi wa nchi. hii kitu ingetokea ulaya lazima hawa wanaojiita manabii wangepelekwa kupimwa...
  5. Ncha ya Upanga

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    mbona kwenye majumba yetu tunawapangisha na viwanja tunawauzia maana hii dar kiasili ilikuwa inakaliwa na waislamu kama tungekuwa na khiyana msinge kuwa na viwanja wala nyumba za kupanga ktk hili jiji.
  6. Ncha ya Upanga

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    maneno ya busara yanasema 'usiangalie ulipoangukia bali pale ulipojikwaa' wanachofanya waislamu ni retaliation kutokana na kuhujumiwa na wabeba misalaba wakiongozwa na marekani. Iraq ilikuwa ni nchi salama wakati wa sadam, palestina ilikuwa nchi salama kabla ya kuvamiwa na mayahudi, afghanistani...
  7. Ncha ya Upanga

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Kwa sababu wateja wake wengi ni wakristo. Ningependa kusikia siku moja maaskofu wamezuia waumini wao kwenda kwa sh.yahya kwani mtakuwa mmetusaidia kumpiga vita mshirikina huyu
  8. Ncha ya Upanga

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    huyu babu mchungaji hana tofauti na wale maaskofu wanao dai kuponyesha vilema, vipofu na viziwi pale jangwani ilhali kuna waumini wao wengi tu wenye ulemavu. Na hapa ndipo ninapo tilia shaka juu ya uwezo wenu wa kujudge viongozi wenu kwa kauli zao ktk jina la maono. Naamini kama siku askofu...
  9. Ncha ya Upanga

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Kwa sababu wateja wake wengi ni wakristo. Ningependa kusikia siku moja maaskofu wamezuia waumini wao kwenda kwa sh.yahya kwani mtakuwa mmetusaidia kumpiga vita mshirikina huyu
  10. Ncha ya Upanga

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Mkuu hawa wamagharibi ni vizabizabina kweli, wazandiki na tena ni wanafiki wakubwa, kama kweli wanataka demokrasia duniani kwanza wangekepeleka manowari na wanajishi wao ivory coast kumng'oa dikteta Gbagbo. kwani ni zaidi ya wiki sasa wanajeshi wake wanaua watu wanao muunga mkono rais Outarra...
  11. Ncha ya Upanga

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    au ulitaka avae kama huyu ndio uwe na imani naye?
  12. Ncha ya Upanga

    Mbona malalamiko ya waislamu hawaitaji CCM kama chanzo

    Vumbi, nadhani unahitaji kumsoma Dkt. John C. Sivalon, katika kitabu chake alichokiita "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA -1953 HADI 1985", kitajibu maswali yako mengi tu.
  13. Ncha ya Upanga

    Nataka kuwashtaki waislam!!

    Wewe unatafuta laana toka kwa allah, kwa sababu unazusha uongo, hakuna aya hiyo kwenye QUR'AN tukufu. sisi waislam tunaheshimu na kuamini vitabu vyote viilivyoshushwa kwa mitume wote(zaburi, torati, injili, na qur'an). Ndio maana hatutukani maandiko ya mwenyezimungu. Kwani yesu kwetu sisi ni...
  14. Ncha ya Upanga

    Tuelimishane kuhusu gsm,cdma, hd, hdtv, ig,2g,3g,4g

    mkuu mtazamaji, nimerekebisha mistari yangu ili nieleweke vizuri, thanks anyway
  15. Ncha ya Upanga

    Nauza Toyota VX na Land Rover

    kama huwezi kuweka picha mtumie invisible akuwekee
  16. Ncha ya Upanga

    Tuelimishane kuhusu gsm,cdma, hd, hdtv, ig,2g,3g,4g

    CDMA inasimama badala ya code division multiple access. Kwenye teknolojia ya CDMA mawasiliano kati ya watumiaji wa simu na kitovu cha kuunganisha mawasiliano(Mobile switching center) zinatofautishwa kwa kutumia codes badala ya kutumia frequecy au time channel yaani kitaalamu FDMA naTDMA. Hivyo...
  17. Ncha ya Upanga

    Nataka kuwashtaki waislam!!

    Akili za mtoa mada zimekaa kiavatar avatar yake, kama unachukia jitie kibiriti ili muandamane.
  18. Ncha ya Upanga

    Nataka kuwashtaki waislam!!

    Namimi nayatafutia ufumbuzi yale makengele ya kanisani yanayopigwa asubuhi na jioni na wale wakristo wanaosimama kwenye vituo vya mabasi na kupigia watu kelele.
  19. Ncha ya Upanga

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    mkuu tujadili hoja kisomi na sio kuleta jazba bila ya kuwa na mashiko.Waislam ni ulul' albab. Rejea gazeti la msema kweli tarehe 28.2.1993 lenye anuani "TAMKO RASMI LA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA MINTAARAFU KASHFA ZA KIDINI." Halafu rejea Msema Kweli Toleo Na. 040, Jumapili Desemba...
  20. Ncha ya Upanga

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    Wanaliona, na hawana hoja ya kulifungia kwa sababu linaandika habari za ukweli.
Back
Top Bottom