Search results

  1. sweetlady

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Raha ya milele umpe eeh bwana .... Na mwanga wa milele umwangazie ..... Apumzike kwa amani ..... Amina
  2. sweetlady

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole sana PakaJimmy .. Hakika huu ni msiba mzito sana kwa watanzania wote kwa ujumla.... Mungu awatie nguvu wazazi wote walioondokewa na watoto wao wapendwa!
  3. sweetlady

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Daaaah.... Kazi ya Mungu haina makosa Raha ya milele umpe eeh bwana Na mwanga wa milele umuangazie Apumzike kwa amani Amina!
  4. sweetlady

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Mh Mwigulu .. Wewe ni waziri wa mambo ya ndani.. Binafsi naamini una mchango mkubwa sana nchi hii kuhusiana na suala la Ben.. Ila nikiangalia ni kama vile serikali imelitupilia mbali, haionyeshi kuguswa na kupotea kwa mwenzetu huyu kwa kipindi chote hicho... Badala yake suala la Faru John ndio...
  5. sweetlady

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Wewe huna adabu kabisa... Wenzio wanawanga usiku wewe unatuwangia mchana... Shame on you na kizazi chako chote... Achana sifa tushakuchoka na masifa yako ya kizamani, huna toleo jipya?
  6. sweetlady

    Sitaki dawa

    Daaah....... So sad asee... Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hichi kigumu kwako! Pole sana Mentor
  7. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Tobaaaaa... chaguo la Mungu daaah, acha kumsingizia Mungu basi
  8. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Jiongeze wewe, stuka kabla hujaingizwa kwenye list ya vilaza
  9. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Vipi kuhusu alivyopatikana mzee wa mwendokasi? Unafikiri haki ilitendeka? Kama hujui basi uliza kwa vilaza wenzio wakuambie sasahivi wanavyojuta kubaka demokrasia na kumpitisha mzee wa mwendokasi
  10. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Hahaha... Vilaza wa mwendo kasi.. hii nimeipenda lol
  11. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Kachemka mapema sana... kama ni gari basi limepoteza mwelekeo na sasa limeacha barabara ... Mungu ashuke anusuru abiria walioko kwenye hilo gari...
  12. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Teh teh... atazungushia wapi akati hali ngumu watu hawanunui tena dada poa?
  13. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Pole pole yakhe... unarusha mapovu ya nini sasa? Mtaani kwako mna uhakika wa chai kesho?
  14. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Mungu atunusuru kwakweli manake inatisha sana... watanzania kazi tunayo, kila kukicha afadhali ya jana
  15. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Manager mhhhhh... ataua kampuni
  16. sweetlady

    Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Hahaha.. bab Jesca ametamba vya kutosha, sasa ni zamu yetu atupishe ! Afu hivi anajua kama jumatatu/jumanne tunaanza ramadhani na hatujui wapi tutapata sukari?
  17. sweetlady

    Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    Inakuuma eeeeeh? Poleeee yakhe
Back
Top Bottom