Search results

  1. K

    BP yasimamishwa, bosi wake kushitakiwa

    watanzania tusikubali kudanganyika namna hii! tunadanganywa kama watoto! "pale unapompa mtoto pipi ili aache kulia"
  2. K

    Kila m2 akifanya hv! HIV kwaheri.

    kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii. unajisikiaje akikwambia kwamba haufikii? hauoni kama unajidharirisha na pia unamdharirisha mkeo?:coffee:
  3. K

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    :coffee:first we need individual consciousness and then later mass awareness on this burning issue, if every individual is aware of everything that is happening then JK will fall for good.:A S thumbs_down:
  4. K

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    wewe acha unafiki mwambie huyo ami yako akupashe vizuri taarifa zote wafanyakazi wanazo hakuna taarifa yoyote ambayo viongozi wa udomasa hawajaifikisha kwa wenzao yote unayojifanya hayajafika yamefika na wanazo with details a - z, andika vitu vyenye msingi na si porojo. 'be a great thinker'
  5. K

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Vyombo vya habari vimeamua kutowatendea haki wafanyakazi hao, kwani wameenda kuongea nao na bado madai yao hawajayafikisha kwa umma, Taifa la Tanzania linaelekea wapi? kama vyombo vya habari vinafanya hivi watanzania tukimbilie wapi?
  6. K

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    kwa kweli tumechoshwa na ubadhilifu wa namna hii, halafu ni kwa nini vyombo vya habari havitangazi hii habari? hao viongozi kwa nini wasiwajibishwe, hebu wapeni haki yao ya msingi, wanafanya kazi kwa kweli kwa uvumilivu mkubwa, ningekuwa mm nisingeweza ningeacha kazi! Hongereni kwa mapambano...
  7. K

    mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

    jibu mbona jepesi, UJANA WAKE ALE NA NANI ILI UZEE WAKE AUMALIZIE NAMI?
  8. K

    Pesa mpya za BOT zaibiwa Airport?

    mimi NASHINDWA kabisa kuelewa inakuwaje taarifa za kiintelligence kwanini hazikuwafikia kuwa watu wanataka kuchakachua pesa mpya? au waliongea hivyo ili kuwaumiza tu watu wa Arusha na kwa kuwa ilikuwa ni chama chetu?
  9. K

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    mmmh! tunakoelekea tutazidi kudai haki tu hata mkitukamta, Pole sana DR. SLAA tuko pamoja nawe, PRESIDENT wetu.........................................
Back
Top Bottom