Search results

  1. bface

    Kioo cha iphone5

    We ndo unambie unauza bei gani
  2. bface

    Kioo cha iphone5

    Natafuta kioo cha iphone5 mwenye nacho au full housing na kioo chake,
  3. bface

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Jiandae uende Dodoma
  4. bface

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Ivi mbeya wanategemea kuanza lini? Maana group lao huwezi juinga list iko full
  5. bface

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Inabidi tuanzishe la kigoma Tabora labda na singida tufanyie hata Tabora
  6. bface

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Msaa jinsi ya kusoma charts nakujua faida inavyopatikana na hasara pia, zipi ni indicator Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bface

    Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

    Maisha yapo na entertainment lazima iwepo, let them talk but honestly am diamond fan ila amekosea sana kutoa wimbo afta seduce me, zilipendwa ni mwimbo mzuri kuliko huo wa kiba but ye ndo kafanya hiyo attention iwepo, ila ndo burudani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bface

    INAUZWA Dell latitude e6430

    Bei mwisho ngp? Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
  9. bface

    15% ya Bodi ya Mikopo; Sheria inasemaje?

    Vyama vya wafanyakazi kila mwezi vinatukata alaf maslah ya watumishi hayafanyiwi kazi kah, wapo kimya tu km hawaoni
  10. bface

    15% ya Bodi ya Mikopo; Sheria inasemaje?

    Mtaani huku ni soo watu 15% ndo habari ya mjini, lakini mimi nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje. Mimi kama mteja nimesaini mkataba wa kulipa mkopo kwa 8% alafu baadae inakuja kuongezwa kwa 15% na unaanza kunikata bila makubaliano na wala mimi sijasaini mkataba wa 15% ya makato ila...
  11. bface

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Tatizo ni kwamba kwa mfano Hawa made in China au global source wao ukirequest kitu wanakuunganisha na ma supplier wa hivyo vitu direct zen wao wanakutumia bidhaa walizonazo kwenye email direct na mode of payment Yao moja wapo ni bank account kwa swift code, je kwa mfano umelipa kwa bank afu...
  12. bface

    Biashara ya mazao choroko

    Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema, mwenye idea anisaidie
  13. bface

    Choroko

    Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema, mwenye idea anisaidie
  14. bface

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Hivi mnajua sababu ya mikopo lakini au mnataka tu kukopa ukanunue ili uweke heshima mtaani na bar zen maumivu yanayofuata, nmb hawawezi kukukopesha hyo miaka sita wala hawawezi kukuambia watakupa mihela mingi ili iweje? Kwanza nmb wanapokukopesha lazima wahakikishe 40% ya mshahara wako inabaki...
  15. bface

    Hotspot katika mtandao wa halotel

    Sio cm bwana mbona line zngine inakuwepo except halotel
  16. bface

    Hotspot katika mtandao wa halotel

    Yah data inasoma na nina browse kama kawaida ila nikitaka kutumia net kwenye pc hotspot haionekani
  17. bface

    Hotspot katika mtandao wa halotel

    Wadau hivi simu yangu ndo setting haziko poa au coz nikiweka line ya halotel sipati hotspot ili kuweza kutumia net ya simu kwenye laptop, sijajua tatizo ni nini ila natumia iphone 5 au kwa iphone haikubali? Yeyote mwenye experience na hii kitu
Back
Top Bottom