asingeulizwa sali hivyo msimamo wa nchi usingetolewa? Tena anajifanya hili swali zuri sana nilitarajia niulizwe bungeni, nyambafu kabisa kama alijua ni muhimu kwa nini asizungumze humo humo bungeni ili aulizwe maswali ya nyongeza? MY TAKE: Hadi sasa Tanzania ni bubu kuhusu mambo yote yanayotokea...
Msimamo wa nchi hautolewi kwa kujibu swali la Mwandishi nje ya Bunge! Wewe Mbopo aka Sangara nadhani unatakiwa kuwazia majaliwa yako na ya kazi yako na sio kuleta usharobaro wenu humu.
Bwana Mwambene aka Mbopo ningeshangaa sana kama usingejitokeza kuzungumzia hili. MY TAKE: Waziri wako aache mikogo afahamu majukumu yake Tanzania ina historia na nguvu katika Afrika. Jambo hili mnaanza kulidhalilisha nyie foreign wa siku hizi. Ndio maana vimisaada vidogo vya Gadaf sasa...
Kulikuwa na thread hapa juzi ikieleza kupewa nafasi ya uhariri mkuu kwa Deodatus Balile ambaye ana undugu na Salva Rweyemamu wa Ikulu. Wengi walisikitika mtu huyu kupewa nafasi kwa kuwa walijua magazeti hayo ambayo siku za karibuni yalianza kuchukua mkondo mpya wa kuzungumzia ukweli,kwmba...
Linamilikiwa na huyo huyo Rizwan likiwa chini ya mtu wake Pinto na wachangiaji wakubwa ni Salva Rweyemamu ambaye anaelezwa kuwa ndiye aliyetoa wazo la JK awe na gazeti kwa kuwa mengine ameshawakorofisha wamiliki wake hivyo wangewez akumjeruhi wakati wa kampeni 2010. Wanajamvi nadhani nimesaidia...
Kama tutabakia na ufupi wa kufikiri kwamba kila jambo zuri linasababisha mtu kuwaza kuwania madaraka bila shaka hata wewe tutasema unawaza safari ya 2015. Hoja aliyotoa ina mantiki maana nani hajui kuwa shule za kata ziliachwa na kutelekezwa kwa kuwa watu fulani walikuwa wakisema unajua shule...
hakuna cha hoja hapa naona mmeanza kudanganya umma kwa kudhani watu hawajui hapa MFAIC kuna nini, yaani fedha zetu na muda wa umma ndio mnatumia kujisafisha hapa. Tunataka ifahamike wazi kuwa CDM tunatazama sana wizi ama matumizi ya fedha za umma kusakia madaraka. Subiri Dk wa ukweli ashike nchi...
Mkuu hii ni kwa kuwa inakamata maslahi ya kampeni ya Waziri, wanakuja hapa kumtetea yeye in person na sio taasisi. Wanatoa sasa info za wizara kumsafisha wakati anatumia miradi hii kukusanya fedha kwa ajili ya kampeni zake badala ya kusaidia nchi. Period huo ndio ukweli mkuu oyoyoo nimesema
Msije kusema oyoyooo sijarudi hapa, naona kabisa mkuu Salaam unatoa nondo za ofisini humu kujibu hoja? Lakini ninavyoshangaa umejikita kumtetea Membe wakati hoja iliyopo ni ya wizara, ama Salaama ni Membe maana sitaki kuamini kama ni Mwambene mnayemtaja yule ambaye ameshindwa ku upload hata...
Yaani mzee mzima Kubenea ndani ya hii thread, naanza kuwaza kitu hapa, ndugu salaama wewe ni Hassy Mwambene spin wa Membe? Msiseme mkuu oyoyoo sikusema, wala msiseme oyoyoo anachonga sana but naanza kuhisi kitu kufuatia hii thread ya TANleaks. Kuna jambo maana salaama umejitahidi kumtetea Membe...
Hapo ndipo mzee TANLeaks unatakiwa kutufahamisha zaidi? Kwamba mradi huu ulikuwa unajengwa na Wizara? Sijui uhusika wa NSSF na PPF? Pia hoja ya mabalozi wetu wa nchi hizo na pia mradi wenyewe ulilenga kuwekeza katika nini? Nitapita kukupa senksi kwa kuw anajua kazi hii unayofanya ni ngumu na kubwa.
Eli watasema mkuu oyoyoo ametumwa, watasema mkuu oyoyoo amejulia wapi, watasema oyoyooo si mtu wa watu lakini hapo kwenye red mkuu Anord napita kukupa thenksi
Kiongozi kuwa na busara na heshima nadhani hufai kuwa mtanzania kama unazarau wazee? Kijana huna nizamu hata kidogo mheshimu kwa umri wake na mafanikio ambayo amekuzidi
Kamanda unaweza kumjua mgonjw akwa kumtazama bila shaka nawe unaweza kuanza kutoa tiba ya maajabu. suala la uchaguzi ndani ya CCM tuwaachie CCM wataleta mgombea wao na sio wetu kisha tutawashindanisha. Akija EL bila shaka kazi itakuwa kubwa na tusijidanganye maana ana rekodi ambayo wakati huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.