Search results

  1. O

    Dr Slaa alikuwa maarufu bungeni bila lugha ya kuudhi wala matusi, wabunge vijana CHADEMA igeni

    Kapotolo, you are very wise. Your counsel and advise is remarkable. Now, it is pivotal that CHADEMA and especially members of parliament heed your valuable advise. This is my sincere prayer for them. Again, thank you for your thoughtfulness
  2. O

    Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

    Dear Manyerere the ruling party and almost all its adherents, generals and lieutenants have absolutely gone politically and morrally bankrupt. They are now operating and acting like a scared cat. They can't counteract argument so whenever they are asked even a simple question, they go nutts...
  3. O

    BBC News: Wamasai zaidi ya 1,000 (Loliondo) watupilia mbali kadi za CCM!

    Inasikitisha sana kuona serikali inayotokana na Chama kilichomwondoa mkoloni ili mwananchi awe huru na kufurahia rasilimali zake, ndicho kimegeuka Kuwa mwuzaji wa watu na mali zao! Hii laana ndio inayoitafuna CCM na itaangamiza mwaka 2015. Nawapongeza akina mama wa Loliondo kwa ujasiri wao...
  4. O

    Kipanya leo!!

    Nimesahau kusema "Mpumbavu hashauriki" wala hafundishiki bali kwa vitendo akiwa amechelewa. Majuto mjukuu. Hawajui hawa?
  5. O

    Kipanya leo!!

    Kipanya asante, umenikumbusha "Hekaya za Abunuwasi."
  6. O

    Wanaume wa kiMassai. . .

    Lizzy, utamaduni, mila, desturi naustaarabu (kama unavyotaka kuwaza wewe) havipimwi kwa mtazamo wa mtu mmoja amakabila ama taifa moja tu. Kwa mfano, mimi sikubaliani na dhana kwamba ili mtuawe amestaarabika ni lazima afanye mambo kama mzungu. Ni vyema ujue kwambamataifa na makabila...
  7. O

    Wanaume wa kiMassai. . .

    Lizzy, utamaduni, mila, desturi naustaarabu (kama unavyotaka kuwaza wewe) havipimwi kwa mtazamo wa mtu mmoja amakabila ama taifa moja tu. Kwa mfano, mimi sikubaliani na dhana kwamba ili mtuawe amestaarabika ni lazima afanye mambo kama mzungu. Ni vyema ujue kwambamataifa na makabila...
  8. O

    Picha ya jana imenifanya niwachukie wahariri.

    Masifa ana lake jambo! Haeleweki na pia haelewi maana ya "haki ya mwananchi ya kupata habari." Inaelekea kwake yanayotokea Zanzibar sio kitu na zaidi ya yote anataka vurugu hizo zifumbiwe macho! Nalazimika kufikiri hivyo kwa sababu picha zilizowekwa kwenye magazeti mengi (wala sio Tanzania Daima...
  9. O

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    I agree with you Seniorita but she can make fun because I don't think she understands why she is there! For a person like that then words like critical and sensitive don't mean anything!
  10. O

    Mzee Kipara amekufa

    Thank God he is alive. Where did these rumors came from? Please people be careful what to post
  11. O

    Polisi wadai Dr Slaa alikuwa na bunduki

    Suala la silaha si la msingi hapa unless kama Dr. Slaa anaimiliki kinyume na sheria. Nakubaliana na wanaJFM wote waliosema kama risasi haijafyatuliwa hakuna kosa na pia hatujasikia kwamba kulikuwa na mapambano kati ya Dr. Slaa na polisi kwa maana ya kukataa kuwekwa chini ya ulinzi. Tatizo hapa...
  12. O

    Jaji Warioba: Sioni kwanini tusiwalipe DOWANS pesa zao....

    Hapa napenda tena kuongeza neno la ziada kwamba Serikali ya Tanzania na vyombo vyake vya kiutendaji imepoteza umakini wake na ndicho kinachosababisha mabilioni hayo yote (nisiyotaka kutamka) yalipwe. Serikali ya Danganyika haina budi kulipa fedha hizo maana iliingia mkataba kijinga-jinga ama kwa...
  13. O

    Jaji Warioba: Sioni kwanini tusiwalipe DOWANS pesa zao....

    [/COLOR]ONLY83, Suala la msingi hapa si weledi ni sheria na Mzee Warioba Jaji aliyebobea na mtumishi wa Umma wa siku nyingi alisema ukweli mtupu. Mahakama imetoa hukumu inapaswa kutekelezwa. Wizi uliofanyika siyo la kisiasa ni suala la kisheria kwa hiyo wahusika walipaswa wawe wamepelekwa...
  14. O

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Dumelang, habari ya mwisho wa wiki. If Balali is still alive I am happy and every one elae should because the guy is innocent. There are those who are responsible for EPA and are walking freely while Balali is hiding and worst they are telling lies that he is dead. Unless he has been "cloned."...
  15. O

    Geor Davie ni nani?

    Mtu yeyote ambaye ni "Mtumishi wa Mungu" kwa maana yake halisi hahitaji kulindwa na mabaunsa! Yesu ambaye ni Mungu kweli alipanda punda wala hakutafuta ufahari wowote. Sasa huyu mtu aitwaye georgedavie nakubaliana na wote waliosema ni "nabii wa uongo." Kipekee sina ushahidi juu ya mengine...
  16. O

    Ukuta kama wa Berlin wajengwa Tanzania kwa pesa za watanzania

    Magamba matatu, kwa kweli ningependa kuona picha ingawa ninavutwa kuamini unavyosema pasipo picha. Ila kinachonisikitisha ni jinsi unavyosema wazungu wanaogopa kwamba "Watanzania wanaiba mali zao!" Hii inanisikitisha kusikia kusoma hayo kutoka kwa Mtanzania ama wewe siyo Mtanzania...
  17. O

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    It seems Mugoyangi is ignorant and he doesn't deserve to be a member of JF!!!!! He/she can't be in this forum if he doesn't know that people like Dr Slaa are learned! Theology is a queen of all sciences according to history. Thus Dr Slaa is a learned person and thats why he stands for truth and...
  18. O

    Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

    Duble Chris, kabla sijatoa maoni yangu kwanza nikushukuru kwa hoja yako. Kwa kweli mgongano wa mawazo ama kutofautiana na mawazo ya wengine ndani ya chama ni afya kwa chama na Taifa kwa ujumla. Huyu mzee wa Kisukuma (mtani wangu) ameonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kusimamia kile anachoamini na...
  19. O

    Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

    Fidivin napenda sana baiskeli yako! Nataka niseme kwa kifupi kabisa kwamba hakuna namna ya "kumkaanga Dr. Slaa katika kuweka wazi posho anayopewa. It is a matter of transparency and with me nothing wrong whatsoever! Kwani Dr. anapata milioni 90 za mkopo wa gari ama mkopo wa milioni 200 ambao...
  20. O

    Commissioner CHAGONJA: AN OBLIQUE STATEMENT

    Mr Chagonja was absolutely "off topic." He was only trying his best to be a loyal servant of his master! Hawa ni wale ambao wakistaafu hawataweza kukaa na jamii iliyoamka kama hii ya sasa. Nadhani anahitaji kuhurumiwa kuliko kitu kingine chote. Ila kweli aliongea kwa hasira kweli kweli mpaka...
Back
Top Bottom