Search results

  1. daud donasian

    John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

    Hivi hy bwana ana toaga speech au ni rattle ndio anafanyaga Kwasababu achelewi kupoteza malengo ghafla!
  2. daud donasian

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Lumumba wana pata taabu sana kumpambania dikteta uchwara wao[emoji23]
  3. daud donasian

    Nini maana ya msemo 'mkalia ini'?

    Uko vizuri mk, bila shaka kijana wa pwani wew
  4. daud donasian

    Nini maana ya msemo 'mkalia ini'?

    Jamn msaada wa maana ya hui msemo manaake umekua gumzo sana naona watu wengi wanautumia!! Lakin nikijaribu kkutafsiri nahisi kama ni msemo mchafu!!?
  5. daud donasian

    Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

    Kama kutatokea uvunjifu wa sheria( uchochezi)kwenye hiyo mikutano sheria zita fatwa na si vinginevyo.. Na swala la kinadi chama kwenye media sio sawa na kunadi sera kwebye mikutano, natoka lini mnapanga channel za kufikisha sera? Mbona hakuna sheria inayo elekeza ivyo wew umetolea wapi iyo?
  6. daud donasian

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Okay hypothetically lets say my english is poor mr. English professor, Do you think by any chance i might have a notion on that particular preposition?
  7. daud donasian

    Ni aibu kiongozi wa dini kuitupa injili na kutumika kisiasa

    Hivi lakin watanzania wehu utatuisha lini...so when someone hold their views and express them he eventually becomes a politician Retarded fools.
  8. daud donasian

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Okay hypothetically tuseme huyo bwana ametumwa au anatafuta kiki, vyovyote vile au sadaka but it is indeed what he claims is a somewhat naked truth[emoji4] only retards will repudiate that..
  9. daud donasian

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    We kijana inavyo onekana umekosa maadili kabisa na hata namna ya kufikiri kwako ni kwa tabu sana
  10. daud donasian

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Kama ni kweli na hatafuti kiki bas huyu bwana ana tufaaa... mark my words tuko kwenye hatua za mwisho kabisa za ukombozi
  11. daud donasian

    Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

    Yani mwendo ndio huu ni kulala mbele tu na hawa askarii uchwaraa!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom