Search results

  1. Kisaa kyafo

    Foleni Dar: Yamekupata yapi leo katika foleni za magari?

    we kweli kiazi tatizo la traffic jam ni la ulimwengu nenda ulaya utakuta jam,uliza swali jingine.
  2. Kisaa kyafo

    Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    pole sana Nyambura natamani ungekua mpenzi wangu,iyo nasema kutnkana na maelezo yako apo juu,pole ila muombe sana na mungu atakusaidia,me nimekupenda kulingana na ukweli uliousema,uko wap?
  3. Kisaa kyafo

    Msafara wa rais magari 23 pikipiki 2 je hii ni sawa?

    kweli bwanamageuko umeöngea na una akili,msafara wa gari 23 kwani una tatizo gani,apo pia protoko aijafuatwa kikamilifu zinatakiwa ziwe gari si chini ya 25
  4. Kisaa kyafo

    Sitasahau!!!

    bwana yesu apewe sifa Amen,kama kweli awo waliyowanyia kama nikweli kama ulivyoandka,basi mungu ni mkubwa daima.
  5. Kisaa kyafo

    Kitendawili ???????

    Baba ubaya huyo.
  6. Kisaa kyafo

    Dereva wangu!

    Ndugu kiongozi kunawa uko umekuelewa si kunawa mikono<ni kunawa mikono ya kiutu uzima si jui umenielewa?
  7. Kisaa kyafo

    Hivi ni Kweli?

    kwani viongozi wa ccm ndo awastail kuumwa???na kama wanaumwa kwanini wasiende kupata dawa?we vp!
  8. Kisaa kyafo

    Sauti za Milipuko!

    Msiwe na hofu ,kuna afande mstaafu wa jwtz alikua anazikwa maeneo ya kisutu.ni afande aliyekua na cheo cha juu ktk jeshi letu,r i p
  9. Kisaa kyafo

    Dah, kweli tunatofautiana.......

    uwo tunasema ni ulofa kuongea na mtu ni jambo muhimu sana acha masela waongee naye basi kama utaridhi
  10. Kisaa kyafo

    Wedding Ceremony Of Kevin Pam And Elizabeth Gupta Of Big Brother In Pictures.

    umtaka kwa nini?sema sina uwezo wa kumpata
  11. Kisaa kyafo

    Mke wangu hanisikii

    kaka unaumiza kichwa bure,mwanamke akishaanza ayo makeke hakuitaji tena ila anashindwa tu kukuambia mimi na wewe basi,usimsemeshe muangalie tu mpaka uone mwisho wake,ila uelewe tu uyo akufai
  12. Kisaa kyafo

    Kero - Magari ya serikali, mawaziri, wanajeshi wanaotanua barabarani

    ukiona anatanua na wee mfuate nyuma.kutanua kuko pale pale,ila tunaangalia na umuhimu,fuata nyuki ule asali,au utoke manundu!
  13. Kisaa kyafo

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    mh ewe kyekue'kukee wa tanga dede? Mhh konmeamba wongo ereya iruwa.
  14. Kisaa kyafo

    Kumbe Wanyarwanda nao Wamo hii ni Balaaa mmm

    Ntaenda tafuat izo toto,ya kitusi!
  15. Kisaa kyafo

    Kumbe Wanyarwanda nao Wamo hii ni Balaaa mmm

    du kwani uku kwetu atuna kitu za namuna hii kweli!aisee ih kitu ni noma sana
  16. Kisaa kyafo

    Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

    kumbe na vikao vinakuepo mbna cjawai pewa kadi?
  17. Kisaa kyafo

    Simulewi mwanaume huyu!!!!

    makubwa umesema hadi kuitika kama mwanamke? Mashaka!
Back
Top Bottom