Search results

  1. S

    Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

    Huyu Giggy anajitambua huwezi mfananisha na Faiza kabakiza kujilaza chali kkoo
  2. S

    Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

    Wema anamatatizo yake ila alishalipotezeaga hili kitambo tu sema huyu halijielewi maana kuna kipindi alimtukanaga mpaka mama wema bila sababu.Ila nadhani nyuma ya huyu kuna Zamaradi Mketema ni suala la muda tu.
  3. S

    Diamond akimtosa LIVE Wema kwenye simu

    nimelichukia hili Diamond....eti tumelala mmelala au mmejitupa kulala mtalala nyie nyoooo!
  4. S

    Wadada na biashara ya nguo China

    usikute unamzungumzia yule mwenye biashara yake sinza na ni mke wa mbunge fulani siku hizi!
  5. S

    Maandazi ya mtindi

    unga kiasi gani sasa
  6. S

    Picha za Shilole akiwa "CHOBINGO" na Mwimbaji wa Koffi Olomide

    Shilole huyo mkaka ni vile kaja na koffie au nini mbona hana tofauti na mandela wa twanga pepeta?
  7. S

    DJ Choka Apata Mtoto Wa Kiume, Congrats!

    hahahahaaa kapannge bwana kabla hujatia mtu mimba...
  8. S

    DJ Choka Apata Mtoto Wa Kiume, Congrats!

    wasichana bwana...unazaaje na jitu linalokaa kwao?
  9. S

    Show aliyopiga rihana akiwa matiti nje nje

    jamani maziwa nje nje ndo hayo...
  10. S

    Mwimbaji wa ToT Mariam Khamis afariki dunia

    unamjua Mariam nn maana ngoja tunyamaze....kalale salama Mariama tutakukumbuka kwa sauti yako mpendwa!
  11. S

    Mwimbaji wa ToT Mariam Khamis afariki dunia

    hapana picha ya pili mwenye tshirt nyekundu
  12. S

    Ni kweli lord eyes mwizi??

    kwa sie tulozoea kufua mashuka tukayasubiria yakauke tunajua mteja anauwezo gani ila kwa yale makosa 30 alobambikiwa jamaa amegeuzwa mbuzi wahitima!
  13. S

    "sitaki kumwona lord eyez nyumbani kwangu".mama ray c

    kweli mtoto asokuwa wako utampachika kila ubaya...mama kiuno usinyooshee watu vidole mchawi mwanao mwenyewe!
  14. S

    "diamond ameiba idea yangu na anatuma watu ili waibe flash yenye huo wimbo"....h.baba

    huyu nae na kile kiuno badala akaombe kazi twanga anajifanya mwanamuziki hbu muache mtoto wa Sandra huko!
  15. S

    Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma Mambo Mazito Aliyosema Hapo Chini

    si kila baba ni baba wengine wana majina yao
  16. S

    Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

    mhh huyu zomba siku hizi anakula nini mbona ana majibu ya ajabu hivi!
  17. S

    Vya kiume

    kuongea rahisi sana ila siku yakikukuta ndo utajua!
  18. S

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    mhhhhhhhhh we acha tu!
  19. S

    Knowing The Unknown

    jamani jamani du!
Back
Top Bottom