Search results

  1. Baba Watoto

    Zali lililotaka kunipeleka Segerea, niligundua mfumo wa ATM una tatizo

    Mahesabu yangebalance wasingekupigia simu. Halafu ulikua uzembe wao katika kufanya reconciliation pia.
  2. Baba Watoto

    Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

    Nikajua ni mimi tu ambaye sielewi. Maana uzi umekuja kama vile wote tunajua kilichotokea.
  3. Baba Watoto

    Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

    Muda huu, saa hii, machozi yanabubujika.
  4. Baba Watoto

    Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    chongoe hicho kisa cha chongoe mwana na mama yake nakisubiri. Lakini pia, maajabu ya baharini japo kisa kimoja. Nasikia pia wamiliki wa boti mara nyingi huhusika na ajali kwa ajili ya kurogana ili kurudishana nyuma. Pia kukumbushia swali la mdau mmoja namna tasi anavyovuliwa maana mm hupenda...
  5. Baba Watoto

    Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

    @Bujibuji hiyo 259 ni nini tafadhali Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  6. Baba Watoto

    Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

    Kwa hawa wahudumu wa afya hasa vituo na hospitali za serikali ni shida, mtoto wa dsda yangu alifariki mikononi mwangu daktari wa zamu usiku yuko nyumbani kwake. Namshukuru Mungu kwa kunipunguza na hasira maana ilikua nitoke na shingo yake Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  7. Baba Watoto

    Lodges/Guest Houses Dar zafurika

    Dar huezi jaza lodges zote, inategemea na budget yako mzee na labda ulikua unataka short time. Hilo nakataa hata mm mtu wa mkoa Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  8. Baba Watoto

    Wazungu lazima wakae kikao kwa mambo yanayoendelea Afrika na dawa ya COVID19

    Alikuambia mafua yana dawa nani? Kitu kimoja ni uhakika. Dawa zote nzuri na organic zipo Africa. Unajumjua vizuri kirusi wa mafua? Anyways karibu magimbi mchemsho hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Baba Watoto

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Sasa kwanini usiwe unaweka muendelezo hapo hapo juu kwenye uzi wenyewe kuliko kuweka huku kwa maoni ya waungwana? Au andika tu sehemu ya pili comment namba fulani ya tatu hivyo hivyo. Ila daaaah inachosha sana
  10. Baba Watoto

    Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Unavyojua kutoka kitabu gani? Unafahamu maana ya CIT? Unajua mikataba inavyoingiwa na sheria jumuishi?
  11. Baba Watoto

    Electrical eel samaki anayetoa umeme

    Hata ziwa Tanganyika wapo nasikia
  12. Baba Watoto

    Kizazi kilichojaa chuki, wivu na sononi

    Mshana Jr umenena vyema
  13. Baba Watoto

    I have been scammed 1,100$ through Forex

    Nimekuelewa vizuri sana. Na umeokoa visenti vyangu
  14. Baba Watoto

    Huyu ndugu kanogewa, tunamtoaje huku?

    Tunashukuru kuonyesha wengi mnapenda mambo haya. Bado tunasoma maoni yenu.
  15. Baba Watoto

    Ubabe wa El-chapo achimba handaki la chini kwa chini mpaka Marekani

    Uko siriaz kweli? Au unatania hujui kuwa ngada na kuuza manati za kizungu ndio michezo yao?
  16. Baba Watoto

    Mrejesho: Haya ni matatizo mbalimbali tuliyoyagundua katika baadhi ya nyumba zenye tatizo la bili kubwa ya umeme

    Washing machine natakataa kabisaaa aiseee. Sema utaratibu wako wa kufua
  17. Baba Watoto

    Huyu ndugu kanogewa, tunamtoaje huku?

    Citizen B ikikuja nishtue
Back
Top Bottom