Search results

  1. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Bado ipo wadau....
  2. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Harddisk upgraded to 500GB....wadau bei imebaki ile ile 250K, laptop acer used but in good working condition .. Wadau nipeni pesa niwahi lift ya Bro Kimaroo Aisee nikalee Xmass kwenye ubaridi wa asili.
  3. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Wadau Acer hii harddisk ni Nitakupatia ya 500GB kwa bei hiyo ya 250K
  4. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Wadau Acer hiyo 250k nachukuaa
  5. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    sasa unazosema wewe Boss simpaka mtu atokee awaletee na hujui kamuumiza nani??...hii mali halali bosi wangu....mkuu yaan wewe kama unayo ya 200 hizo 4th to 5th generation....iposti hapa ...ila hii yangu naona nikiiuza chini ya 250 hainilipi.
  6. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    ahahaha...etuii hilo Mbango....ilaa we mjamaa una madharau ujuee....anyway...ili mbango langu siwezi uzaa chini ya 250 aiseeee. Fanya mpango nitafutiee mbango la 170 mimi ninunue..😀😀
  7. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Hapana Boss wangu...hao wanaoharibu biashara kusema 80 or 90k najua hata wao wanajua hata ukiwapa 150k pc ya halali hawawezi kukuletea.
  8. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Ni kweli ni old model chief lakini haina tatizo lolote,inawezekana nisipate 300k,lakini hebu kuwa realistic mkuu ndio useme waweza uza kama ni yako kwa 80k?
  9. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    ahahaha...Bosi 90,000 hakika uwezi pata laptop labda iwe ya wizi.
  10. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Boss wangapi kibongo bongo wananunua brand new pc dukani?? kariibu wote tunanunua either refurb au used na bei haiwezi kuwa chini ya laki mbili au tatu...hiyo 80K hata desktop upati. Hii ni used but in very good condition...haijarishi ya mwaka gani....Umehamua tu kuniharibia biashara kama...
  11. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Hahahaha...we dalaliii huo sasa si uwizi tu RAM 4GB let say ni 30K,harddisk lets say ni 40K,Display 15 5' ni around 90K...sasa hebu nambie hiyo 50k Boss wangu si ni bei ya Nokia torch.
  12. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Wadau Bei inazungumzika kiasi....aliyeinterested anicheki.
  13. N

    Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

    Husika na kichwa hapo Juu..Nauza laptop Acer ikiwa na sifa hizi Liquid Crystal Display 15'5 RAM 4GB Harddisk 320GB Battery 2hrs WebCam Bluetooth Running Windows 10 Bei nahitaji Tsh.250,000 only Napatikana Dsm Mabibo Hostel Mob:0713598825
  14. N

    Gari aina ya Nissan Skyline ya Mwaka 2004 inauzwa kwa haraka

    Wazee wakulenga,nileteeni pesa mchukue gari hii,Mwenye best offer namsikiliza...
  15. N

    Gari aina ya Nissan Skyline ya Mwaka 2004 inauzwa kwa haraka

    Nahitaji pesa ya haraka nauza gari yangu Namba C. Model:Nissan Skyline,Saloon Closed top YoM:2004 Rangi ya gari: Pearl White Hali ya Gari:Nzuri inatembea Bei: Milion Tano na Laki 2 (5,200,000=/=) Maongezi kidogo yapo Kwa serious buyer Mawasiliano: 0620688865 Picha
  16. N

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu ipo Samsung inch 24 led original...inamiezi tisa bado ipo kwenye hali nzuri sana...kama hujapata nicheki nipo DSM
  17. N

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nimekabidhiwaa lindooo rasmi midah hii....kariiibun kahawa.
  18. N

    JamiiForums Usiku wa manane

    Heshima kwenu walinzi wenzangu...
  19. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu beauty in me weka mawasiliano yako nikucheki.
  20. N

    Radio ya Gari na Samsung Galaxy A7 duos,Vinauzwa

    Ina some scratch kwenye screen ambazo simu ikiwaka uwezi kuziona..
Back
Top Bottom