Search results

  1. M

    Mshindi wa kura za maoni CHADEMA ahamia Act-wazalendo

    Kuhama no haki ya kila mtu na kila kuhama lazma kuwepo na sababu hivyo mtu hawezi kuhama sehemu, nchi, chama, club n.k kabla hiyo sababu yenyewe haijaja/timia , ahsanteni no mawazo tuu.
  2. M

    Wana-CHADEMA washinda kesi ya mkusanyiko uliosababisha kifo cha Mwangosi, Nyololo Mufindi

    hongereni sana makamanda wa CHADEMA MUFINDI pamoja sana , Walisha bughi wanajaribu kujiokoa lakn haitawezekana brother, .:llama:
  3. M

    Kati ya CHADEMA, CCM na BUnge, nani ameingilia uhuru wa Mahakama?

    Big up 2u brother, hakuna ukweli zaidi ya huo acha tu wajitoe akili kwa kupositi mada ambazo hazna kichwa wala miguu "mimi naamini kusema uhuru wa mahakama umeingiliwa na layman ni kituko uhuru wa mahakama unaweza kuingiliwa na mwenye mamlaka kwa kutoa agizo co vinginevyo tujadili mambo ya...
  4. M

    Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

    kaka acha alalewatanzania bado hawajajua uhusiano uliopo kati ya kiongozi mwadilifu na haliya maisha yake . siku wakijua watachukua hatua.
  5. M

    Nani anahisi aibu kukutana na mwenzake? Dr. Slaa au Dr.Dr.Dr.Kikwete?

    aliyekimbia mdahalo wakati wa kampeni kuitisha mkutano wa wanahabari wake aliowapa maswali watakayo muuliza lkn bado akionekana kushindwa kukumbuka majibu ya hayo maswali kwa uwezo mdogo wa kukirem na kuchanganya majibu ya swali la 2 kwenda namba 3 and vice versa dr. dr.dr. Heshma.
  6. M

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Watz ule msemo, tz kichwa cha mwenda wazmu nilidhan ni katika michezo, kumbe mmmh! Kwa uhusiano huu wa 185 na 18.5 wa tz wale tunaoitwa wa kawaida imekula kwe2 . Tanesco wamerusha mzigo wa fidia kwa wananchi tungoje tena waingereza waandamane kwa ajili ye2.
  7. M

    Julius mtatiro aeleza kinachomkera cuf

    Ni kwel huo ndio uvumi ulioenea kuhusu vyama hivyo viwili lakn yaan cuf-uislam na chadema ukiristo k2 ambacho hata mimi kinanikera sana kwa wa2 kushndwa kujua kuna m2 mwenye dini na kuna chama cha msingi hapa 2siangaike na imani yake bali kama umependa sera za chama hucka jiulize je...
  8. M

    Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

    yeyaaaaa! Waaaaaambie. Wakubal or not habari ndiyo hiyo, ukweli kdogo uongo mwngi.
  9. M

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    mwanzo mbaya haukuanzia hapo bali pale ilipotafutwa jinsi wengine wanaita jinsia co uwezo, ukaendelea ubaya kudhihirika kwa zoez la kura za kumthibitisha mzee wa G8 kwa kusema liendele hata kama hawakufuata kanuni na kura kukosa usiri,huo mwanzo kama mwaka wa njaa ukaendelea kwa wawakilish wa...
  10. M

    m

    ahaaaaa!
Back
Top Bottom