Search results

  1. M

    Waziri Mwandosya: Kikwete Angeniacha Nipumzike

    kwa nn alikubali kuapishwa? aache usanii, wapiganaji cheo kina raha yake, Hamuone wengine wanalalamika na kulia wameonewa kumwagwa.
  2. M

    Chadema Wafanye Mkutano mkubwa Dar Haraka maana karibia wakamatwe

    Ukweli Hakuna mji ulio na watu wa uelewa mdogo kama Dar,tunapata kila kitu magazeti,radio,vituo vya tv,internet na nk, sasa sijui ni uoga au ujuaji uliokidhiri? kwa ujumla hatuna mwamko kama vile hatuguswi na hali halisi inavyoendelea serikalini tupotupo tu,Dar tulitakiwa tuwe mfano lkn mifano...
  3. M

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Ukweli Sister Bunge linaboa hasa uchangiaji hotuba ya Rais, kilichopo baada ya kuchangia au kuishauri Serikali wabunge wa Ccm wanajibu yale Wapinzani wanayokosoa na kuishauri Serikali ifanyeje kwa yale waliyoboronga,Wabunge utadhani hawaoni wamebaki kutetea uozo ambao hauna maana na manufaa kwa...
  4. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Tatizo la Watanganyika hatuijui Vizuri Ccm, Wanajifanya kukwaruzana mara hawapatani mbele ya macho yetu, mwisho wa siku wanakaa meza moja na kunywa chai pamoja na kugawana vyeo. Hao wote wamoja.
  5. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    waache wakapambane wote wamoja hao siri ya kata aijuaye mtungi.
  6. M

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    Tatizo letu Watanganyika Ccm imetujaza fikra za uoga tokea mwanzoni, huku tukidanganywa na kuvuli cha Amani, Huku tukijidanganya kuwa Ukombozi Utakuja kama zawadi au kushushiwa na Mwenyezi Mungu, Ukombozi wa kweli huja kwa Jasho,akili,na moyo uliokufa. Ona mfano Wamisri Mioyo yao wananchi...
  7. M

    Hamad Rashid amesahau 1995 - 2000?

    Chadema itabidi wawe Makini sana na Hamad Rashid, Je anataka Muungano na Kambi ngapi? Wao wamekwisha ungana na chama tawala anatafuta nn huko Chadema? au wamemtuma? Hamad aliheshimika sana lkn sasa amekuwa mamluki,hiyo ndiyo faida ya kujipendekeza chama tawala wakawapigia kura Spika na Naibu...
  8. M

    Tbc ni wahuni - wamepoteza mwelekeo!

    Kwa ujumla Tbc Inakela,Pia Joe Kiampa anakela anaposoma magazeti anaogopa kusoma habari yoyote inayokosoa serikali na Jk anajifanya kama haioni, watu kama hawa siku ya ukombozi wanajifanya viherehere wa kutoa habari wakati kwenye harakati wanafyata mikia.
  9. M

    Makamba yu njiani kujiuzuru?

    bora akafie mbele, tumemchoka.
  10. M

    Nani huyu Ridhiwani Kikwete?

    Kwa nini unasema Ridhwani atakuwa na wakati mgumu baada ya baba yake kumaliza kipindi chake ha URAIS mnamo 2015 Lewinski Ms Unajifanya hujui kama Mumeo fisadi. mwisho wao unakaribia, Hakuna malefu yasio na ncha.
  11. M

    Kauli ya Nahodha yamgeukia ‘kaa la moto’

    Damu zilizomwagika zimesababishwa na viongozi wa Chadema, msitake kurusha. Zomba, Acha Ushabiki na Umbumbumbu, Kwenye Ukweli Kuwa mkweli kama unahofia kuachishwa kz Nyamaza,Usijipendekeze kupita kiasi Uta*******************kwa.
  12. M

    JK ukiwalipa Dowans na wewe uondoke ikulu

    Naunga Mkono Hooooooja.
  13. M

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    Uwezo wake na upeo wake mdogo wa kuongoza nchi.
  14. M

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Tatizo letu Watanganyika tunaongozwa na Vilaza na huu mfumo wetu wa Elimu wa Kukalili ndio matokeo yake hayo,Mashuleni,vyuoni kukalili, Ndio Matokeo ya akina Kombani,Werema,Mwama,Jk na mfumo wote wa Ccm kwa Ujumla, Hivi Kiongozi wa Nchi anaongoza kwa kutujaribu? kwa akili zao za kukalili...
  15. M

    Wito: GP Said Mwema Jiuzulu

    Naunga Mkono Hoooooooooja AJIUZULU. Lkn Wanamageuko Kukubwa kwetu Chadema ni jinsi tunavyoteka wananchi Ukweli tunapoelekea ni pazuri kwa ujenzi wa Chama chetu, suala la Arusha limepelekea kuwafunua Upeo wengi kuona mustakabali wa Uongozi wa ubabe na wa ubabaishaji wa Serikali ya Ccm na vyombo...
  16. M

    Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

    Safi, lkn kunahitaji Mshikamano Zaidi. Pia Utambue wanatanganyika wamepoteza IMANI nawe na itakusost kurudisha Imani kwao Unaonekana Mamluki Kaka Badilika.
Back
Top Bottom