Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu? Make nipo njia panda mkuu!!
Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima
pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu
Mkuu nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148/121 kama dakka 5 doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135/95 je inaweza kuwa machine hiyo mbovu au laa?
Naomba ushauri Hali imenitokea ghafra juzi coz ndo mara yangu ya 1 nikapimwa presha 154/93 nikapewa dawa jana nimeenda wanasema bado 150/91 je niendelee kutumia dawa na nipumzike mda wote na niendelee kupumzika?
Swar nirudi mara nyingne kupima presha? Na je dawa alizo nipa doctor za tumbo inaweza ikawa ndo chanzo cha ugonjwa wangu na je niendelee na doz ya tumbo hiyo au la?
Habr mkuu naomba ushauli nilikuwa naumwa tumbo nikaenda hospital nikapimwa zaidi minyoo nikapewa dawa nikatumia but tumbo linaendelea kuuma nikarudi mara 2 hospital wakapima vidonda vya tumbo nikawa sina akanipa dawa flan inaitwa zosec +Co trimoxazole na panado nikatumia tumbo halikuuma tena but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.