Search results

  1. N

    Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

    Huyo Jamaa alitumia pesa nyingi sana kufanya kampeni, lakini alishindwa na kampeni ya chumba kwa chumba ya Kayombo, tena alishindwa kabisa, hakuna kura iloibiwa!!
  2. N

    Mh.Hawa Ghasia acha kutugawa watanzania kwa mikoa na makabila.!

    Kwa nchi nyingine maneno aliyoyaongea huyu mama, ni tosha kabisa kumwondosha katika nafasi aliyonayo ya Uwaziri!!
  3. N

    Mshahara wa 'bank officer' NMB ni kiasi gani?

    Hivi inawezekana kweli kujua trh/mwezi wa kuanza kazi bila mkataba wa kazi ambao unaonyesha package yako itakuwaje? Kama ndo hvyo hawa NMB watakuwa wasanii!!
  4. N

    Navunja ndoa ya mtu!!!!

    Tatizo uelewa wa Maisha ya Kindoa, hata kama mnaongea mambo ya kikazi, lazima kuwe na kikomo cha maongezi, embu fikiria ametoka kumpokea mumewe airport, wewe una muweka bize na simu, hv unafikiri ni ustaarabu? Je kama mlikuwa na mahusiano ya karibu ya kikazi ingekuwa rahisi hata familia zenu...
  5. N

    Kwanini Mwl Nyerere aliwauzia Waingereza Mgodi wa Almasi wa Mwadui Shinyanga?

    Soma hapa chini kuhusu Mwadui Mine TheWilliamson Diamonds Limited Mine (commonly Mwadui mine) is an open pit mine andis the largest Diamond operating mine in Tanzania. It is located at Mwadui areain Kishapu district, Shinyanga municipal - 30km north east of Shinyanga municipaltown, 2.6km Off...
  6. N

    Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

    Nafikiri Sasa GT watakuwa wamekuelewa kuhusu huyu mama Joyce Banda na Tanzania Yetu
  7. N

    Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

    Ushoga atiiiiii???????????????
  8. N

    Best paying company in tanzania

    Majibu uliyoyatoa umeyafanyia analysis ya kutosha kama GT au umekurupuka? Kwa uelewa wangu kuhusu hayo makampuni uloyataja yanaweza kuwa katika level ya kati ya makampuni yanayolipa zaidi. usiangalie mishahara ya mtu mmojammoja kwa kuangalia majukumu na nafasi yake, usiangalie mambo wanayofanya...
  9. N

    KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza

    Sikwamba Engineer Ndikilo hakupata kuwa na madaraka katka serikali ya ******, Huyu alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, na ndiye aliyesimamia uchakachuaji wa Kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, uliompeleka bungeni Mteketa, kiukweli Mteketa alishindwa vibaya na Marehemu...
  10. N

    Hii ndiyo cv ya mbunge wa Mbarali

    Kama kuna makosa mtarekebisha!! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Toleo la Mwaka 2000, Ibara ya 67; Inasema hivi kuhusu kuchaguliwa kuwa mbunge; 67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa...
  11. N

    8 - 2

    ManSix
  12. N

    Hodi

    Isiwape taabu, Hilo ni jina la Kibantu tu.
  13. N

    Hodi

    Wana JF natia timu hapa sebureni.
Back
Top Bottom