Search results

  1. S

    Mauaji ya Mwanachuo wa Uhasibu - CHADEMA kuhusishwa

    Katika hili mimi nadhani serikali ihakikishe inalinda usalama wa raia wake kama jukumu mojawapo la msingi. Mulongo kumbuka kila raia anayo haki ya kuishi, hii iko wazi kwenye katiba. Wote tunakumbuka Kamanda Barlow wa Mwanza (RIp) alivyouwawa katika mazingira yanayofanana na ya hawa wanafunzi...
  2. S

    uchaguzi 2015: Njaru (Nsagali) kugombea ubunge kwa Chenge, na Chenge kugombea kwa Cheyo

    Mh Zizuu, Ingawa kila mtu ana matatizo yake kwenye lugha, lakini wewe umezidi: Maneno mengi ya kiswahili yanakushinda kabisa: Hebu angalia haya: uyu: Naamini ulimaanisha - Huyu. Haliwai: Naamini ulimaanisha - Aliwahi. Kuhuwa: Naamini ulimaanisha - Kuuwa Huu: Naamini ulimaanisha - Huyu Afai...
  3. S

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    Sasa Mh Lema ndiye aliyempiga Mkuu wa mkoa na mawe kama ilivyoandikwa hadi atafutwe na polisi? Mh Lema anahusika nini? Yeye alifika pale kama kiongozi, na kama tulivyosoma nyumbanai kwa Mh Lema ni karibu sana na chuoni. Lazima watu na hasa viongozi wa serikali iliyoko madarakani kwa sasa...
  4. S

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Wanasema wameshindwa kumkamata baada ya kutoweka kinyemela na kukimbilia DSM??!! Hivi huko DSM hakuna jeshi la polisi?? Au wanapima upepo wa kauli yao?? Kama jibu ni ndiyo basi jibu wameshalipata. Lakini haiingii akilini jeshi la polisi kukomaa na mtu aliyewakumbusha majukuku yao, badala ya...
  5. S

    Nataka NAPE ujibu hili

    Nape hakutakiwa kukiri wala kukana kuhusika kwa wanachama wa CCM. Mhalifu anaweza kuwa wa chama chochote, cha msingi upelelezi wa haraka na wa kina ufanyike na wakibainika ni wafuasi wa ccm basi anaweza kusema sasa kwamba "hata hivyo chama hakikuwatuma" Kukanusha moja kwa moja kunaonyesha...
  6. S

    CUF wazidi kuiandama CHADEMA

    Nimemsikia Duni Haji kwenye highlights za hicho kipindi. Anasema eti Mwl aliunda tume ya watu 20 toka bara na 20 toka visiwani wakati wanarekebisha hii katiba mwaka 1977, Anashangaa Lissu haelewi kitu gani na anaenda mbali hadi kumtukana. Swali moja kwa Duni: Kwanza sitaki kuamini kuwa Duni...
  7. S

    Sababu 3 kwa nini Ngeleja ajiuzuru

    Jamani, Hapa Ngeleja hawezi kusema eti alikuwa hajui lolote kuhusu hii barua aliyoandika Jairo. Kimsingi Jairo alipata malekezo toka kwa mabosi wake yaani Ngeleja na Malima. Kwanza inasema "Kama ilivyo kawaida yetu" Haiingii akilini kusema kwamba haya yalikuwa maamuzi ya Jairo bila wakubwa...
  8. S

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    Hivi ni kweli kwamba huyu jamaa ni mtoto wa Job Lusinde?? Maana haiingii akilini mwasiasa maarufu kama huyo awe na mtoto wa Dizaini hii!!
  9. S

    Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

    Hatutamchagua mtu kwa ukabila wake na wala hatutamuacha mtu kwa ukabila wake. Kigezo pekee ni uwezo na uadilifu. Kabila siyo kigezo cha kuchaguliwa.
  10. S

    CHADEMA wateka Bunge

    Huyo Ole Sendeka anaposema eti kukosoa yaliyofanywa kwenye awamu ya kwanza ni kumdharau baba wa taifa, si kweli: Naomba nimkumbushe ole Sendeka maneno ya Mwl aliposema: Awamu ya kwanza tuefanya mazuri mengi na vile vile tumefanya makosa/Mabovu mengi tu! Ndiyo,!! tusifanye makosa sisi malaika...
  11. S

    Ushauri wa Bure kwa TBC1!

    Uko sawa mkuu,Hata mimi sijui kwa ninin hawa tbc wanafanya kitu namna hii. Watuhumiwa ni CDM, kwenye kutoa maelezo hawaitwi, wanaitwa watu wale wale, sasa sisi wanamchi ambao tbc ni ya kwetu, tutapata wapi maelezo ya upande wa wanaotuhumiwa?? Wabunge wa ccm walobaki bumngeni hawajadili huu...
  12. S

    CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

    Hata hivyo wakipewa hizo mic badala ya kuongelea mswada uliopo mezani, wanabaki kujadili wabunge wenzao wa CDM, mipasho kama taarabu. Mimi najiuliza issue iliyoko mezani ni wabunge wa CDM au Muswada wa mchakato wa Katiba? Kwa wabunge makini wangetumia muda huo kudadavua contents za muswada ulio...
  13. S

    Tukumbushane vijineno vya Marais mbalimbali kwenye hotuba zao

    Lo!! Za JK hapo juu kali sana.
  14. S

    Miraji Kikwete: Vurugu za Mbeya CHADEMA isizingiziwe

    Jamani, Mimi sijaelewa vizuri heading na pongezi anazopewa huyu mnayemwita mtoto wa Rais. Heading inasomeka: "VURUGU ZA MBEYA CDM ISINGIZIWE" yaani ametaka CDM ibambikizwe. Unless mleta mada aseme alimaanisha "ISISINGIZIWE". Naomba kutoa hoja.
  15. S

    AIBU KWA CCM: Wanashindwa kuirudisha Arusha chini ya himaya ya CCM pamoja na kutumia polisi!

    Kwa sasa TZ hakuna AMANI wala UTULIVU. Kilichobaki ni UVUMILIVU peke yake, ambao nao naona unazidi kutoweka. Mungu ashushe kheri.
  16. S

    Mbunge wetu John Mnyika thubutu utatue kero ya maji jimboni mwako!

    Jamani, Hebu tuwe wakweli, Mnyika ndo kwanza tuseme anamaliza mwaka mmoja tangu achukue jimbo la Ubungo. Leo tayari kuna wadau wanataka tatizo la maji liwe limeisha!!???. Hii ni ajabu sana. Miaka yote CCM wamekuwepo wameshindwa kulimaliza leo mnataka ndani ya mwaka 1 mh Mnyika awe amemaliza...
  17. S

    Benjamin William Mkapa Mmakonde asiye na (vision)

    "Namkumbuka Mzee Mkapa kwa kauli moja aliyowahi kuitoa. "Kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri". Ila huyu mzee!!!!??
  18. S

    Ridhiwani Kikwete Ndani ya MAGU,

    Sasa na nyie walimu na uongozi mzima wa hiyo shule, mmemwalika Riz 1 kama nani nji hii. Mmekosa viongozi wa serikali kweli?? Mngemwalika hata mtendaji wa kata basi. Nyie subirini hilo tank la maji hata kama atapewa bure au atachukua pale nyumbani kwao nyie subirini tank.
  19. S

    January Makamba: Mbunge wa aina yake

    Huyu mleta mada mimi sijamuelewa sehemu moja: Anaposema watendaji wa wizara ni Ngeleja na John Mnyika!! J. Mnyika tangu lini ameingia kwenye serikali. Nijuavyo mimi yeye ni msemaji wa upinzani kwenye wizara hiyo. Au kwa lugha ya kibunge ni "Waziri kivuli wa Nishati na Madini". Siyo mtendaji wa...
  20. S

    Ni kweli NnauyeJr hawajui Mbowe, Slaa?

    Mimi nadhani imefika wakati wa kusitisha kuandika habari yoyote inayomhusu nape. Maana mwenzetu tunashindwa kuelewa kama ndo siasa hizo au lipo tatizo la msingi. Naogopa tusije onekana wote kama yeye. MOD: tafadhali naomba thread yoyote inayomhusu nape ipige chini.
Back
Top Bottom