Search results

  1. H

    Mtu ni nini hasa???

    Mtu ni nini hasa? Ngoja nijibu kufuatana na fundisho/doctrine ya Biblia Takatifu, Kitabu cha Mwanzo 2:7 (Genesis 2:7) ukisoma "New King James Version" inasema, " And the Lord God formed Man out of the dust of the ground, and breathed the breath of life into his nostrils". Ukisoma Biblia ya...
  2. H

    Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    Ikumbukwe kuwa imewahi kuelezwa kuwa waliomteka Dr.Ulimboka walionekana kuwa "very skilled". Na kuna uvumi kuwa Dr. Ulimboka alimtambua Hemedi Msangi kama mmoja kati ya watekaji wake. Ikumbukwe kuwa kuna afisa wa Ikulu aliyetajwa na Dr. Ulimboka kuwa alikuwa akimpigia simu siku ya tukio na...
  3. H

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Nimefuatilia thread iliyotumwa hapa Jf na mmoja wa wachangiaji ambaye alipost yaliyokuwa yakijiri katika ibada Ambayo Mchungaji Gwajima aliamua kutumia muda huo kutoa ufafanuzi wa anayedaiwa kuwa Mtekaji wa Dr. ulimboka (Mkenya.) Kwa mujibu wa mmoja wa walinzi niliyeongea naye muda...
  4. H

    Uhuru wetu hautoki kwa Kikwete au Rais yeyote; Rais hawezi kuwa "Dikteta kidogo"

    Heko Mwanakijiji kwa uchambuzi makini na adimu. Watu wenye mauwezo ubongoni(I.Q) ndio wanaweza kuchambua kama ulivyofanya wewe. Ila huyu hapa anayejiita PIPIJOJO ninawasiwasi hana kichwa wala miguu.Kwa hoja zake nashawishika huenda anafikiri kwa tumbo(maana yake ana njaa inayopoozwa kwa uwepo...
  5. H

    Ushiriki wa JK kampeni za Igunga

    Nyota zote za watu mahiri alizokuwa amezinyang'anya na alizokuwa akitumia mwaka 2005 zimeenda na Marehemu Sheikh Yahaya! Sasa hana nyota wala Mvuto.Aende IGUNGA akaanguke JUKWAAANI? Emu acha Kumdhihaki Mhe. Mwenyekiti. Mwache akanunuliwe tena SUTI kule Marekani.
  6. H

    Dalili za ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 waonyeshwa huko Zambia leo

    Nyota njema huonekana asubuhi. 2010 tumewashinda WAKACHAKACHUA, 2015 TUNAINGIA IKULU WATAKE WASITAKE.
  7. H

    Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

    Very good Prof. Safari. Hao wanaojifanya wanazuoni, wamekosa sifa moja, SIO WAKWELI, pili NI WATU WA BEI RAHISI, yaani wananunulika na PESA za Kifisadi.
  8. H

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Saffiiiii sana wadau Watanzania muishio marekani. Na mtindo huu uendelee mpaka akose kwa kukimbilia. Huyu Vasco Dagama hasikii, haambiwi ametumia zaidi ya mwaka mmoja(Siku 366) akiwa nje ya nchi ndani ya miaka 5 ya kwanza ya urais wake. Rais brazameni sisi anatusaidia nini? Rais Sharobaroh sisi...
  9. H

    Nape: CCM kuwarejesha kwenye ukweli vijana waliopotoshwa na wapinzani

    I can not Imagine kama Nape ni average thinker this way. Nadhani hili ni tatizo la kudumu kwa baadhi ya viongozi wa CCM hasa ngazi ya Taifa.
  10. H

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Umetumwa Kumsafisha?Umelipwaje? Je zimekutosha? Unaonekana una njaa sana! Aheri ufe ukiwa huna mali kuliko kuwa mtwa wa mali.
  11. H

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Uamuzi wa Kamati kuu ya CHADEMA mara zote hufanyika kwa umakini wa hali ya juu na pia huwa huru na wa haki.KAZI NZURI SANA CHADEMA, na hao CCM wajifunze kutoka kwenu na sio kuanzisha kampeni za changa la macho eti Kujivua gamba. What a none sense!
  12. H

    Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya chini ya uratibu wa asasi ya vijana TYVA unaendelea

    Vijana mbalimbali kutoka asasi za vijana, shule za sekondari, wajariamali, vyuo vya elimu ya juu na vijana wa makundi mbalimbali wapo katika Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya hapa katika ukumbi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni. Nikipata nakala ya mada iliyowasilishwa nitaituma...
  13. H

    Coming soon: Mpanda International Airport!

    Nadhani huu ni mpango wa mtoto wa Mkulima. Anataka baada ya miaka 5 baadaye apate ka-uwanja ka ndege ka kusafirishi mazao yake as for now barabara ni mbovu sana. na treni haiaminiki
  14. H

    Maalim Seif bado mgonjwa

    HICHI NDICHO ALIKUWA ANAKITAFUTA SIKU NYINGI Bwana Maalim Seif- "Nafasi nyengine zote zipo chini ya rais kwa mujibu wa katiba. GNU katika kugawana nafasi imeishia juu tu na ndivyo katiba inavyosema," alisema. NAFASI ZIMEISHI JUU TU ILI YEYE NDIO AFAIDIKE, HAPA HAZUNGUMZII NI JINISI GANI NASAFI...
  15. H

    Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

    Sikutegeme sana kama uwezo wa JK unaweza kutofautiana na uwezo wa mkewe, kiakili, umakini na kuweza kuchambua mbivu na mbichi. Full of reckless leaders. Hii inaonyesha ni jinsi gani nchi inavyopumilia mashine, hii ni indicator kuwa umakini katika nchi umepungua kama sio kuondoka kabisa. Sio JK...
  16. H

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Mchange, Ukiacha Ubabe na kupenda Ubosi sambamba na vitabia vinavyoendana na mambo kama hayo wewe ni kiongozi mzuri. Nasema haya kwa kuwa nakujua muda mrefu tumesoma wote darasa moja. Ila sasa napata wasiwasi kuwa utawiwa vigumu kuacha tabia hii ya kujifanya bosi. Nakumbuka namna ulivyokuwa...
  17. H

    Waraka kwa Mbowe na Zitto

    Another crazy youth who had been frustrated in CCM and imitates being a member of CHADEMA. Na kwambia na bado mtajifanya mnaipenda CHADEMA kwa unafiki mpaka mtachanachana vikadi vyenu vya Magamba na kujiunga na Chama Kubwa, CHADEMA! Hopeless you! CCM go to hell !
  18. H

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Regia kazi nzuri, kazeni buti, ila huyu jamaa aliyecomment kwa kusema Chama Cha Demokrasia na Maandamano, mimi nataka kumuongezea tafsiri nyingine ambayo inalenga hasa hayo maandamano. Ni kweli ni chama kinachotumia maandamano kutetea maslahi ya sisi Watanzania tulionyonywa na Chama Cha...
  19. H

    Najiandaa kugombea urais 2030

    Very unrealist dreams!
  20. H

    Slaa awalipua Rostam, Riziwan

    Miasha bora kwa kila fisadi akiwemo JK na mapacha watatu!
Back
Top Bottom