Search results

  1. N

    Kwanini waziri mkuu asijiuzulu ??

    Zitto siyo aliyemuwajibisha , kumbuka WAZIRI MKUU alipaswa kutoa ufafanuzi ndani ya BUNGE kwamba mhusika yuko safari na siyo vizuri kumjadili. PIA kwanini sasa CHC ifutwe kuna agenda gani ya siri ?
  2. N

    Kwanini waziri mkuu asijiuzulu ??

    Ninashangaa sana tangu niliposoma GAZETI LA KULIKONI la tarehe 20/06/2014 la siku ya Ijumaa lililosema kuhusu majibu aliyojibu aliyekuwa WAZIRI WA FEDHA Hon Mustafa huku akiungwa mkono na SPIKA WA BUNGE Hon Anne Makinda kwamba ametumia busara na uvumilivu kwa miaka miwili na kuamua kujibu kwa...
  3. N

    Tunataraji CCM itengeneze ajira au itengeneze Bomu? Jionee haya!

    Kwamba ni ajira kumi, hapa sikuungi mkono, nadhani walitangaza sabini. Lakini kwa nini wawaitie uwanja wa taifa? Au walijua turnout itakuwaje?
  4. N

    Weka idioms/nahau mbalimbali unazozifahamu katika uzi huu

    A Bird In The Hand Is Worth Two In The Bush: Having something that is certain is much better than taking a risk for more, because chances are you might lose everything. A Blessing In Disguise: Something good that isn't recognized at first. A Fool And His Money Are Easily Parted: It's easy...
  5. N

    Courses Women Wish Were Available for Men

    Courses Women Wish Were Available for Men Introduction to Common Household Objects I: The Mop Introduction to Common Household Objects II: The Sponge If It's Empty, You Can Throw It Away: Accepting Loss I If the Milk Expired Three Weeks Ago, Keeping It In the Refrigerator Won't Bring It...
  6. N

    Prison life vs full time job

    Prison Life vs Full-Time Job In prison you spend the majority of your time in an 8' X 10' cell. At work you spend most of your time in a 6' X 8' cubicle. In prison you get three meals a day. At work you only get a break for one meal and you have to pay for that one. In prison you get time off...
  7. N

    Words "some" women use

    Words 'Some' Women Use FINE This is the word women use to end an argument when they feel they are right and you need to shut up. Never use "fine" to describe how a woman looks - this will cause you to have one of those arguments. FIVE MINUTES This is half an hour. It is equivalent to the five...
  8. N

    jE NI SHERIA GANI INARUHUSU KUKATWA MSHAHARA UNAPOFANYA KOSA KAZINI A KAMA FIDA YA KOSA HILO

    Napenda kujua sheria ya kazi ambayo inaruhusu kwa mwajiri wako kukukata mshahara kama fidia la kosa ulilolifanya kazini, na ni hatua zipi za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa kabla mwajiri hajakata mshahara?
  9. N

    CHADEMA MMefungua NJIA!

    Itachukua lakini haitapewa na ccm.
  10. N

    Anataka kumuua anayetembea na mkewe, ushauri !!!

    Mwenye tatizo hapa si mwanaume anayetaka kumuua mwenye tatizo na mabaye anatakiwa kumuua bila upendeleo ni yule mke wake kwa sababu ndo aliyemsaliti ikiwa anajua kaolewa na yeye. Unaacha tatizo kulishughulikia ambaye ni mke wako, hakuna tatizo lingine zaidi ya mkeo, kwani ukimuua anayetemebea...
  11. N

    jamani yamenikuta........!!!!!!

    Hii issue imekukuta mwenyewe si useme tu, ndo maana hueleweki, japo kwenye heading ndo ukweli wako yamekukuta. Amua kuwa na mmoja, unahangaika nini sasa?
  12. N

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    utakuwa unashabikia hilo fao la NSSF lisifutwe ndoo maana unailazimisha ipite 55 tumeshakushitukia na tutakuamini vipi wewe?
  13. N

    Wanaume na wanawake wanapolalamikiana

    Ngoja niyadadavue malalamiko ya wanawake kwanza hapa chini: 1. Wanawake wanalalamika kwamba wanaume sio waelewa wazuri, yaani huwa wanatafsiri mambo tofauti na isivyo. 2. Wanalalamika kwamba wanaume huwa hawajali hisia za wapenzi wao wala hawajali pia kuhusu mahitaji yao. 3...
  14. N

    Wanakijiji wapendekeza wabunge wanaolala bungeni wamwagiwe maji ya baridi na wachapwe viboko

    Burhani Yakub, Muheza. WAKAZI wa Kata ya Misalai Tarafa ya Amani Wilayani hapa,wamependekeza kuwepo kwa kipengele cha adhabu ya kumwagiwa maji ya baridi nakisha kuchapwa viboko kwa mbunge atakayesinzia akiwa kwenye kikao bungeni. Wamependekeza pia kwamba adhabu hiyo iambatane nakutoruhusiwa...
  15. N

    Kuna tofauti gani kati ya Mganga wa kienyeji na mchawi

    Natamani kupata mjadala wenye kuweza kuleta majibu yaliyoshiba mawazo huru yenye mitazamo tofauti, kwani siku hizi kuna wimbi kubwa la watu kugeukia dawa za kienyeji zaidi kuliko zile zinazotolewa na hospitali za kawaida.
  16. N

    Does your blood group type reveal your personality?

    Does your blood group type reveal your personality?According to a Japanese institute that does research on blood types, there are certain personality traits that seem to match up with certain blood group types. How do you rate? TYPE O = You want to be a leader, and when you see something you...
  17. N

    [WARNING] DISTURBING IMAGE - Mwizi wa nyaya za umeme anagalia yaliyomtokea.

    Ni kwamba Testicles, penile head na viungo vingine vya kike, ni heat resistance. Na pia Viungo vya uzazi ni vigumu hata kuoza huwa vinakuwa vya mwisho, ltaoza ini, utumbo, Pafu, ubongo lakini vyenyewe wala, mpaka mda mrefu sana upite. MUNGU WA NI AJABU na kuna makusudi yake.
  18. N

    [WARNING] DISTURBING IMAGE - Mwizi wa nyaya za umeme anagalia yaliyomtokea.

    Ukiwa Mwizi mda mwingine uangalie cha kuiba angalia kilichomtokea mwizi huyu wa nya za umeme
  19. N

    Jamani jamani huu ni ugonjwa gani?

    Madaktari mliomo humu tafadhali anagalia hii picha halafu mtujulishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
Back
Top Bottom