Search results

  1. fanson

    Mnaopiga wake zenu huwa mnakuwa mmetumia vilevi? Mke hapigwi!

    Sio vilevi, Ni kama Adam angekuwa kwenye utulivu wa kutosha, alipoletewa habari ya Tunda Angekataa. Angejua Eve, kakosa nidhamu ya Eden, Hivyo angechukua bakora na kumwadhibu.
  2. fanson

    Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Ushauri sio kwamba hautasikika kwa Watanzania bali hautatumika. Angejikita zaidi kuitisha seminar za Viongozi wetu. Kuwaelimisha kuhusu Lishe itakayowasadia kuongeza Uwezo wa kufikiri. Ingesaidia sana kwenye Uongozi wao ivo Kuboresha maisha ya watu. Hali duni ya Wananchi inawapelekea...
  3. fanson

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Inajulikana CCM wote wana Walakini, Hata anayepitishwa kuwa Presidential Material kwenye File uwa kuna mahali hapapo sawa. Hii ni kutokana na aina ya Mfumo wanaoUtumikia. Sasa kwa nini JK alaumiwe? Haraka nachokiona, El alimusupport JK, lakini JK binafsi hakuonyesha kufanya ivo kwa EL, Hata...
  4. fanson

    Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    Usoni haufurahishi na Utani, Moyoni Unautamani Uwe zaidi ya Utani
  5. fanson

    Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi. Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga. Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote...
  6. fanson

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Vipi na Nafuu hiyo, Kuna ile Unasahau kabisa jina la mtoto. Utasikia We nanii Njoo hapa!!!
  7. fanson

    Mbinu gani inaweza kutumika kumbadilisha mtoto anayeanza kuandika kutumia mkono wa kushoto?

    Yupo sahihi muache. Tatizo la jamii zetu vikitokea Vitu tofauti na vile tulivyovizoea, Tunavitazama kwa Upande Hasi.
  8. fanson

    Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

    Hasa pale kijana anapopata Admission ya chuo fulani, wengi kila kitu uanza kuwa tofauti
  9. fanson

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Tatizo sio hayo mafunzo ya matumizi ya viungo katika kujitetea, Swali Kwa nini Waachishwe shule, Kwa nini mafunzo yaambatane na Siasa Kali?
  10. fanson

    Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    Kuna nchi tulikutana na Wana A. Mashariki wanne, Watatu Waliniambia wamewahi kuishi Tz, Wakaendelea kunitajia mikoa, wilaya hadi vijiji Walivyoishi. Wakamalizia na Lakini, Nyie Mnapenda Sana Ushirikina.
  11. fanson

    Hatimaye Boss kaoa

    Mapema ivi umeruhusu kuwa Ndege tumbusi
  12. fanson

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    Infact Wapinzani wako walitawala game vipindi vyote, na Uamuzi wa Matokeo ulikuwa Upande wao.
  13. fanson

    Lindi na Mtwara kwanini ni Maskini? Wana Bahari, Gesi na Korosho na ilitoa Rais wa awamu ya 3!

    Mkuu nguvu ya Kufikiri Sahihi katika jambo Sahihi Kwa Wakati Sahihi ni njia Sahihi ya kukufanikisha katika hilo jambo. Hii ni Asili. Hata hiyo mikoa inayoitwa Imeendelea/Duni, kuna watu wa tabaka zote. Wakristo wanasema Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Support ya Serikali haikwepeki...
  14. fanson

    Lindi na Mtwara kwanini ni Maskini? Wana Bahari, Gesi na Korosho na ilitoa Rais wa awamu ya 3!

    Sio huko tu, Mikoa mingi Hali Yake kiujumla ni Matokeo Ya Wakoloni kuwa hapo/kutokuwa hapo. Baada Ya Kupata Uhuru, Serikali iliendelea na inaendelea Ku-project kilichokuwa Hapo tayari. Kisaikolojia Hili limefanya Asilimia Kubwa ya Watu kujiona Superior/Inferior, kulingana na Sehemu...
  15. fanson

    Makonda: Haki ya nani ningempata Naibu Waziri Viwanda ningempiga vibao. Akasirishwa na wafanyakazi kuzulumiwa haki yao kwa miaka 20

    No wonder huyo Kiongozi angekuwa hapo, Mwenezi angerusha kofi, halafu wakatokea wazee kumtuliza jaziba. Tunapitia Staged times kuelekea 2025.
  16. fanson

    Mwanaume ndie anapaswa kuwa kiongozi pekee wa familia

    Ndo ivo Hata Akivua Magamba hageuki kuwa Samaki Kambale.
  17. fanson

    Mwanaume ndie anapaswa kuwa kiongozi pekee wa familia

    Operation Kataa Ndoa ni sauti kuu kuwa Wanaume wanataka haki zao, Na kwa sababu Dunia Imewatelekeza basi Wameamua Kujitetea. Kumuongoza Mwanamke Hakujawahi kufanikiwa, Huku nje story ni Nyingi ila Kwa Ground(Ndoa) ni tofauti. Sakata la Eden halijawahi kupata Suluhihisho hadi leo hii.
Back
Top Bottom