Search results

  1. D

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    the whole process ya exposing documents za muhimu za nchi nadhani nayo iwekewe mkakati wa kundwa upya kama ulivyo mkakati wa sasa wa katiba. hali hii haitavumilika tena hata kidogo :nono: kwani haki nyingi za wasiojua haki zinachakachuliwa na wao wanakosa haki zao za msingi! na kwa kuwa watu hao...
  2. D

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Asant for the comment. lakini concern yangu kubwa ni kwamba; sheria za kazi kwa nini zisiwekwe wazi kwa kila mfanyakazi kuzijua? sio hizo tu but also very useful documents za serikali na wananchi kama vile katiba, seria mbalimbali na kadhalika? naomba tupate kwa uwazi hizi docs.
Back
Top Bottom