Search results

  1. M

    Hasira hasara!

    anamaanisha chakula chake ni rafiki za mumewe wakiisha anaweza kuhamia kwa ndugu cjui itakuwaje
  2. M

    Majina na Tabia zake

    yaan hapo kwa AGNES umenena ni ukweli mtupu haujadanganya hata tone sema naongezea wanajifanya wastaarabu halafu wajuaji vibayamno
  3. M

    The Wedding Test

    Ama kweli kila jambo linamakusudi yake maana ushindi bila kuwa na maalifa ya ushindi ni hatari lakin salama
  4. M

    Bajeti ya tanzania na matekelezo

    Natambua kweli ni muhimu lakini kwa tanzania hakuna matekelezo kiasi umuhimu wake unapotea na mbaya zaidi viongozi wakubwa wanayaona lakin wanayafumbia macho kwakuwa kwao si tabu kwa maana maisha bora kwa wachache na bora maisha kwa wengi Tanzania.
  5. M

    Bajeti ya tanzania na matekelezo

    Tanzania ni moja ya nchi amboyo inawawakilishi wanao tetea na kulinda maslahi ya wananchi moja ya jambo muhimu linalotekelezwa na wawakilishi ni kupanga bajeti na kusimamia utekelezaji, lakini inashangaza sana kuona kila mwaka bajeti huwa inapangwa lakini sidhani kama utekelezaji wake unafwatwa...
  6. M

    Majina na Tabia zake

    Vipi kuhusu jina BENI SAUM HELENI MATIASI GETRUDE ZULPHA
  7. M

    Majina na Tabia zake

    Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani. Na hii hugundulika baada ya kulinganisha watu wawili watatu na kuwafanya sample ktk jina wanalofanana na baadhi ya majina huwa na sifa...
Back
Top Bottom