Ndugu m_kishuri na Xfactor, nakubalina nanyi kua data zina vary. But I challenge you to bring me a list where Tanzania ipo katika mia bora. Any list...
My point is: pamoja na kua kuna bias kibao, na kila mtu anavuta shuka upande wake, bado in any ranking sisi tumechelewa. Sasa wakati tukisubiri...
The Boss shida ya criteria ni shida kubwa. kila mtu anakuja na criteria ambazo zinasaidia kupendekeza Uni zao katika mia bora. Sina shaka kua hii hapa imetafitiwa na wamarekani wenyewe. Kumbuka kua model nzima ya Wallstreet, IMF WorldBank, NSEx TSEx, NasDaq, cac 40 na wengine wanategemea...
Tuache utani...CWUR 2014 | Top 1000 Universities
Katika vyuo Kumi bora duniani hakuna chuo hata kimoja toka Africa, South America au Asia. Chuo cha kwanza toka Asia ni #13 Japan.
Katika vyuo mia bora duniani bado Africa hatupo jamani. You have to scroll to #131 ndio upate Brasil.
Katika vyuo...
Katika press review yangu nimekutana na hii article.
This is an echoe to what Zitto said here: Foreign aid is not the only African story worth hearing | Zitto Kabwe | Global development | theguardian.com (Posted by Zitto Kabwe on Friday 1 November 2013 08.10 EDT). I'm sure "some people"...
Kwakweli sielewi hii review ilinipitaje. Kitabu kinaonekana ukianza huweki chini hadi umalize. As most of women I love these manipulatinve techniques. hehehe
Alaaaaa, kumbe kipo kwako??? Kaka naomba unirudishie kitabu changu tafadhali... Or keep it nije kukichukua kwako unaonaje?
Going back to the issue debated, kwanza tu-define resource curse, halafu TULETE FIGURES za Tanzania then tutajua kama kuna resource curse au hakuna. Mtoa mada kazungumza...
I love our book review threads and I only meant to elarn from your difficulties so we can make it better for every user to read going forward. Don't worry.
Agreed. But this is a book review thread, so I guess people coming here have developed the habit of reading more than "lol". Lazima wana mechanism zao (read on tablets, laptop or print to read later etc). Au unamshahuri afanyeje? Apost the text in more than one post?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.