Search results

  1. M

    Je anafaa kuwa mke wangu wa ndoa?

    Afrodenzi nakushukuru sana kwa mchango wako na wadau wengine japo wengine mananiponda lakini mimi napokea tu ushauri na nitatafakari kwa kina. Mfano Afrodenzi amegusia suala la kupima Ngoma, ni kweli hilo mimi nilimjaribu kumuliza je atakuwa tayari kunipa mzigo hata kama hatujapima ngoma, yeye...
  2. M

    Je anafaa kuwa mke wangu wa ndoa?

    Habari ndugu wapendwa wana Jf, heshima kwenu wote. Naomba mchango wa mawazo juu ya hili: nina girl friend ni mzuri sana,kazaliwa 87, ila tayari anawatoto wawili ila ukimuona ni kama hajawahi kuwa na mtoto vile,umboni dogo na anavutia.Hajawahi olewa ila bwana aliyemzalisha hao watoto kamelekeza...
Back
Top Bottom