Search results

  1. Kibaraka

    Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    mwenye link ya kuona game live msaada please
  2. Kibaraka

    Sababu kuu 4 zilizowafanya CCM waendelee kukamata dola awamu ya 5

    Usisahau kuitaja miji kama Dodoma nayo ni moja ya sababu.
  3. Kibaraka

    Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

    Nimeingia kwenye hiyo link, lakini nadhani kuna kitu ulisahau(?) kucopy. angalia hapo chini kwenye red. Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%){{Sensa ya 27 Agosti1967[1]}} ingia kwenye hizo link nilizokuwekea na uangalie ni ya mwaka gani. ingia na hapa...
  4. Kibaraka

    Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

    Mkuu naomba source ya hizo takwimu ulizoweka hapo. According to CIA: Tanzania mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/fields/2122.html ingia na hapa Religion in Tanzania -...
  5. Kibaraka

    Israel na ukiristo

    Hapo ndo nashindwa kuelewa. Wayahudi wenyewe hawamwamini Yesu kama ni Mungu. Wewe unasema Yesu amekwambia wokovu unatoka kwa wayahudi(wasio mwamini Yesu). na umehimizwa uwabariki wayahudi. Hebu nifafanulie hapo.
  6. Kibaraka

    Israel na ukiristo

    Acha kupotosha. unaingiza maneno unayoyataka wewe. Huoni aibu kufoji Quran kwa ajili ya kutetea dini yako? kweli umefilisika. Quran, Surat An Nisaa aya ya 171 inasema hivi, Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa...
  7. Kibaraka

    Tunisian Girls Are Coming Home Pregnant After Performing 'Sexual Jihad' In Syria

    Tumia akili ya kuzaliwa tuu. Jihad inayosapotiwa na America na Ufaransa! Watu wamejaribu kushindana hoja kwa kutumia vitabu wameshindwa, sasa wanaanzisha propaganda. Wakristo, naombeni a single verse kutoka ktk Quran au Hadithi inayoelekeza waislamu wafanye 'Sex Jihad'. Umalaya ni umalaya tuu...
  8. Kibaraka

    Dr Mwakyembe na kashfa ya misaada Kyela

    Kasoro hii ya Mwakyembe inafanana na ufisadi wa akina Lowasa, Chenge nk?
  9. Kibaraka

    Mlevi na Pastor.

    Joni woka huyoo.
  10. Kibaraka

    Mungu Lihurumie Taifa hili na Wananchi Wako!

    Hakuna kumbu kumbu mbaya kama ya maandishi. Jamaa huko alipo anatamani hii thread ingefutwa na watu wasahau alichowahi kukiandika.
  11. Kibaraka

    Watanzania wenzangu...

    Hii ni nchi ya kitu kidogo, ni nchi ya watu wadogo. Kinachotakiwa ni kufanya maamuzi na sio kuishia kulalamika tuu kila siku,.
  12. Kibaraka

    Tamko la serikali dhidi ya kampuni zitakazo sababisha ajali...

    Pumbavuu!! Yaani hadi ajali zitokee ndo kampuni ifungiwe!! Tunapunguza ajali kwa kusubiria kampuni zisababishe ajali ndio hatua zichukuliwe!! Bora serikali ikae kimya tu kwani haipo makini.
  13. Kibaraka

    CHADEMA Arusha kwatifuka

    Mh! Haya!
  14. Kibaraka

    Nataka kuwashtaki waislam!!

    Inna lilah...
Back
Top Bottom