Search results

  1. Ba Martha

    Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Pole sana ndugu, hauko peke yako. Kuna watu wanajibu ovyo sababu hawajawahi kumbana na hiyo hali. Ninapitia situation kama yako, kuna mafunzo mengi tunayapata na kupata ufahamu dunia haiko kama wengi tunavyodhani, mambo hugeuka ghafla. Iko hivi, nina sifa kielimu kama wewe na nimekua kwenye...
  2. Ba Martha

    Miezi 9 imetimia lakini mtoto hajageuka tumboni

    Naongea kwa experience ..Watoto wangu 2 walikua na ishu kama yako..hawakugeuka mpaka muda unatimia na walipitiliza kidogo...the only option ilikua ni upasuaji na wakatoka salama. Hii ilipendekezwa na madaktari bingwa wa Muhimbili na Selian ambako walizaliwa kwa wakati tofauti na miaka tofauti...
  3. Ba Martha

    Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

    Sijawahi post kitu status..never.
  4. Ba Martha

    Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

    Miaka karb 20 iliyopita,mdada wa watu alinifata akanitamkia zaidi ya mara 2 tukiwa form 1. Ila sikua na mapenzi nae, so nikampotezea. Miaka 13 mbele nakutana nae mlimani city kawa mrembo balaa. Tuliongea machache, kifupi kila mtu alikua na mtu wake.
  5. Ba Martha

    Late night thoughts: Share you mood

    Usingizi umepaa...kichwani nawaza kushika hela ndefu ..
  6. Ba Martha

    Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

    Sijajua kwa wanaume wenzangu inakuaje! ..ila kwa mtu nilie nae serious ntahakikisha mahitaji yote natimiza..ila masharti na vigezo kuzingazitiwa...mfano; 1. Ananipenda kweli? 2. Hiyo hela anaombaje..kwa adabu au namna ingine..sipendi dharau 3. Uwezo wa kifedha ..kama ipo ntatoa 4. Hilo hitaji ni...
  7. Ba Martha

    Kweli leo nimekoma

    Arusha yap....karbu na maghorofa ya jeshi baada ya kuvuka reli unauona kili live bila chenga.
  8. Ba Martha

    Kweli leo nimekoma

    Mbona Hapa hapa Arusha unaoekana vizuri tu..mimi nikiwa chumbani kwangu nauona safi kabisa kupitia dirishani..huku Moshono tanganyika parkers...kila siku hasa hali ya hewa ikiwa clear.
  9. Ba Martha

    Inakuaje miaka 60 ya uhuru DAWASA hawajalimaliza hata jiji la Dar es Salaam?

    Sio sahihi kwanini? Wanaopewa madaraka wakiwa na maono kama yako hatuwezi fika popote! Lazima waone inawezekana kua na maji ya kutosheleza Dar nzima na ziada juu. Tuache kufikiria vitu vidogo vidogo na mawazo ya kushindwa.
  10. Ba Martha

    Fungo kwa wachepukaji. Je, ni kweli haya mambo yapo?

    Hivi mchepuko hawezi kukufunga kama hivi..kila ukifika kwa wife hola? Vice versa!
  11. Ba Martha

    Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

    Mtie Mimba chapu...hata ww munkari utapungua automatically..
  12. Ba Martha

    Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Afadhali umestuka mapema ..ni wake up call kwa tulio wengi! Mi naona vitu vya msingi ili tusipotee sana ni kama ifuatavyo: Kua karibu na Mungu kwa kumaanisha ili atupe hekima na maarifa Kua na marafiki/ kampani sahihi inayokupa wivu wa kimaendeleo..ukikaa karibu na watu wanaoongea maendeleo...
  13. Ba Martha

    Uchimbaji wa kisima

    Kwa walioko Arusha mtafuteni huyu mtu (Dula..0766241113). Mimi kanichimbia kisima huku Moshono na tumepata maji ya kutosha lt 10000 tank linajaa mara moja na hayana chumvi. Note: Anachimba kwa mkono Kama mwamba ni mgumu kuna sehemu atalazimika kulipua baruti Bei mnaelewana...
  14. Ba Martha

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Wadau..nimeongea na wahusika PPF kuulizia situation. Wanasema ni kweli wamesitisha kwa oda toka uongozi wa juu wa shirika. Ila waliopeleka fomu zao za madai kabla ya 12 may 2016 watalipwa mafao yao kama kawaida..ila kuanzia tar 12 hatalipwa.
  15. Ba Martha

    VIDEO: Mtoto Getrude akaribishwa Bungeni Dodoma baada ya kutoka Marekani

    Watoto wengi tu wa tz wamefanya wonders..huyu alihutubia mkutano wa afya wa dunia mwaka jana..Geneva. link hiyo hapo. Can a 17-year-old change the world? | Save the Children International
  16. Ba Martha

    Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

    CCM kwa kusomba watu hamjambo..nilikua Kilwa kikazi ambako Magufuli jana alihutubia..njia nzima wakati tunatoka Kilwa hiyo jana saa tatu asubuhi kurudi Dar ni makundi ya watu walioandaliwa na kuvishwa sare za CCM. Kuanzia Kilwa kwenyewe..Nangulukulu..Kipatimo..Ikwiriri..Kimanzichacha..Kibiti...
  17. Ba Martha

    Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

    Crdb kuna wizi..Mimi pia pesa wangu tsh laki mbili hivi majuzi hyo hivyo wamenipiga..nakomaa nao kesho mpaka warudishe... Majibu wanayotoa ni ovyo na mepesi..ntawapeleka mahakamani wasiporudisha.
  18. Ba Martha

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Mimi nina tatizo hilo pia..vidoa vyeusi pia hutokea kwenye ngozi baada ya kunyoa..Je dawa yake ni nini?
  19. Ba Martha

    Huyu jirani anapiga sana mtoto,wapi turipoti,na je itakuwa inanihusu?

    Yanakuhusu sana kaka..kwani kila mwanajamii ana wajibu wa kutoa taarifa kwenye mamlaka husika ie, polisi, viongozi wa mtaa, kata nk pale anapoona haki za mtoto zinavunjwa. Hii imebainishwa katika sheria ya mtoto ya mwaka 2009...na katika sera ya maendeleo ya mtoto ya mwaka 2008.. Inakuaje maovu...
Back
Top Bottom