Search results

  1. K

    RPC Mbeya, Kamanda Msangi azuia maandamano ya kumpokea Lowassa

    Hawa WATANZANIA wanaolalamika kuwa maandamano yanawazuia kufanya shughuli zao ni wa nchi ipi? Nadhani ni wale wanaofanyia kazi zao ikulu? Sasa camping zikianza itakuwaje?
  2. K

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Ukombozi wa pili umewadia vivaa ukawa nenda Kamanda lowasa nenda!! Ikulu ni ya ukawa Mwaka huu hakuna namna nyingine maaana Tumechoka sasa;
  3. K

    Natabiri: CCM kupata ushindi mkubwa dhidi ya UKAWA sababu...

    Ccm na serikali Yao wametengeneza zaidi ya Billion 150 kuhakikisha ukawa inasambaratika Lakini mpaka sasa wameambulia kuondoka Na lipumba tu ukawa iko Imara lowasa yuko Imara C cm mwaka huu mtaimba nyimbo zote: Halafu watu wanaishabikia chama kinachotumika Kodi zao kuua vyama...
  4. K

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaaaaaaaaa!!!!!
  5. K

    Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

    Ushahidi utatolewa Mahakamani maana mtuhumiwa yuko Polisi ukitoa sasa hivi nyaraka utaharibu Mwenendo wa kesi . Zito yeye nyaraka zake Ziliwekwa hadharani sababu kesi yake Haikuanzia polisi maana ilikuwa ni Ya kuhujumu chama na sio ya njama za Mauaji Kama alivyo kuwa anafanya...
  6. K

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Safi sana CDM hii ni sheria nzuri sana hasa Kwa hawa wanafikina watumishi wa Maccm Wewe : eti demockrasia Wewe unatumika Kuua chama alafu tufanye je chama kisife Suluhu nikatiba tu ndio maana Maccm Yamechakachua Rasm ya warioba Kwa kuogopa haya vivaa CDM hongera Katiba ya chama:
  7. K

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Katiba ya chama ndio ya kwanza yenye mandate Ya kumvua uanachama mtu yeyote maana Hata Kama ukisema ni kamati kuu au kikao gani Lazima kingefuata matakwa ya kikatiba. Zito wakati anapeleka shitaka mahakamani Alikuwa anajua matokeo yake yeye ni msomi Hilo alilijua. Hapa katiba imetendewa...
  8. K

    Picha za uongo zinazotumika za Amboni

    Mkuu umemaliza hawa Maccm wanafikiri ni wakati wa BBC sasa hivi wanapokupangia ndio huko Tumeamkia kila kitu wazi kweupe move ya Kijinga mno hii:
  9. K

    Tukio hili la Tanga litufumbue macho

    Watu waliovaa yebo yebo ndio wawataabishe Majeshi yetu yote na mizinga iliyoko huko Leo siku ya 4 Sijui 5 hao watu wana silaha za jadi Kwa mujibu wa chagonja : eti wametoroka Sasa watanzania tulitakiwa tupeleke Batalian ngapi za Jeshi kupigana na wavaa yebo yebo Kweli ccm imekuwa mene...
  10. K

    Tukio hili la Tanga litufumbue macho

    Wazee hio ni cinema ya kutungwa na Wana siasa waliofeli wa ccm hakuna cha ugaidi Wala uhalifu watanzania mtadanganyika Hivi mpaka lini wenzenu wanatafuta kisingizio Cha kuzuia mikusanyiko ya vyama vya upinzani Wasizuie ile katiba inayolazimishwa :
  11. K

    Picha za uongo zinazotumika za Amboni

    Tanga ni full cinema safari hii starling mwenyewe Yuko magogoni hajasafiri anaona jinsi Cinema ilivyofeli kabla hata ya kuanza: Ccm bana! Ni mene mene tekel na Peres :
  12. K

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya II: 27-28 Septemba 2014

    Mbona simba hawatoi matokeo ya watani wao Jamani?
  13. K

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya II: 27-28 Septemba 2014

    Matokeo ya yanga ngapi ngapi wakubwa
  14. K

    Chenge: Muongozo wa rasimu tuliyotunga ulitoka kamati kuu ya CCM

    Hii nchi yaani hadi aibu watanzania Wameharibiwa na moto wa mwenge Ghafla tunakuwa wapole Kama mbwa Anavyomuona chatu hakimbii wala kupambana Badala yake hulialia na kujiandaa kukaa mkao wa kumezwa Uchafu unaofanyika bmk watanzania Tumepumbazwa na nini?
  15. K

    Tume huru ya uchagzi kutoka katika Rasimu ya katiba inayopendekezwa

    Pumba tupu eti wasomi ni upumbavu mtupu Sijui wamelogwa na nani kumbe nchi hii hai Hitaji tena kuwa msomi ili uongoze hii nchi Ya wadanganyika ni ujue tu kucheza na akili Za watu basi kwa kuhamisha MATUKIO
  16. K

    Utata Waibuka Kesi ya Kubenea Kupinga ya Bunge Maalum la Katiba

    Sasa msimamo wa kisheria au maamuzi Ni nini juu ya mgongano huo?
  17. K

    Well done Kubenea-Bunge Maalum la Katiba halina Mamlaka

    Ufafanuzi wa Kesho utatolewa na nani? Mahakama au ni press conference ? Hebu Tuwekeeni tujue sehemu nyingine nimesoma Kuwa maamuzi mpaka ijumaa je maamuzi Ya Leo ni mwelekeo au sehemu ya maamuzi?
Back
Top Bottom