Search results

  1. Mythbuster

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wakuu nina swali nikiwa dar es Salaam kwenye decoder na Dish gani naweza pata channel ya Sony Six ? Kuna malipo yeyote na yanakuwaje? Thanks
  2. Mythbuster

    China yakubali kujenga Reli ya Kati kwa kiwango cha 'Standard Gauge'

    Labda ukaulize wizarani, habari ndiyo hiyo kwamba ujenzi ulishaanza. kuna kitu kimejificha katika huu mradi maana wanafanya kama vile hakukuwa na kitu kinaendelea!!
  3. Mythbuster

    China yakubali kujenga Reli ya Kati kwa kiwango cha 'Standard Gauge'

    Hii habari haijakaa vizuri. Mbona reli ilishaanza kujengwa siku nyingi na hao hao wachina?? Tena habari zake zipo kwenye site ya wizara ya ujenzi hii hapa na picha pia Ministry of Transport, Tanzania - Highlights | Katibu Mkuu atembelea eneo inapojengwa Reli ya Standard Gauge
  4. Mythbuster

    Azam TV Gold

    Njia rahisi ya kuharalisha kupandisha bei ya vifurushi. Maumivu huanza polepole...
  5. Mythbuster

    Pesa za nchi zinachapishwa wapi?

    Pesa za Tanzania zinachapishwa Germany. Huo ndio uhakika.
  6. Mythbuster

    Natafuta fundi Mzuri wa Laptop charging system

    Wakuu za kwenu? laptop yangu aina ya Dell imekuwa kama desktop kwani inawaka nikiweka adapter kwenye Umeme tuu, Nikiiitoa inazimika papo hapo. Nimejaribu kununua betri Mpya lakini imeendelea kuwa vivyo hivyo. Imepelekea Kuamini kuwa tatizo la laptop hiyo in charging system. Naomba Kama kuna mtu...
  7. Mythbuster

    Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

    Hiyo Fiber optic cable ya Viatel. Ni kampuni ya Vietnam na inamilikiwa na jeshi la vietnam. Wanaweka hizo cable inchi nzima kwa sasa kwa kasi kubwa.Sehemu nyingine wanachimbia chini na zingine wanaweka juu. Msumbiji wamesababisha watoa huduma wengine wakimbie kwani wameshindwa shindana nao.
  8. Mythbuster

    STARS yajifua Addis Ababa

    Lazima wapigwe tuu hamna lolote watalii hao
  9. Mythbuster

    Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

    Nadhani tatizo sio jezi nyeupe kama baadhi ya wadau wanavyohoji. Jezi nyeupe ni away Jersey na nyeupe huwa inavaliwa na taifa lolote (pia nyeupe ni mchanganyiko wa rangi zote-kisayansi). Ikitokea Taifa Stars ikakutana na timu yenye rangi kama zao, basi itadidi wavae hiyo nyeupe. Kama una...
  10. Mythbuster

    Top Ten footballers Tanzania ever produced

    Naona pia umemsahau Ezekiel Grayson "Jujuman"
  11. Mythbuster

    Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

    The 'Berlin Wall' ya Yanga ilikuwa kiboko aisee
  12. Mythbuster

    Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

    Mkuu mimi nataka flat screen monitor peke yake , unauza? Kama unauza ni sh ngapi?
  13. Mythbuster

    Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

    Mpambano huu utakuwa na mapambano ya utangulizi kama matatu au mawili sina hakika. Wanaweza kuanza kuonyesha tangia saa 9,10 au 11 alfajiri ya Bongo. Sasa kutegemea hayo mapambano ya utangulizi yatakavyochukua muda, yaani kama kuna KO ya mapema pambano litaisha mapema au kama round zote pambano...
  14. Mythbuster

    Mayweather-Paquiao: Mechi ya mtoto wa Matumla tulipigwa changa la macho

    Watanzania tumezidi sana kudanganywa kuwa mtoto wa Matumla akimshinda mchina feki angepambana katika mapambano ya utangulizi kwenye pambano la Mayweather na Paquiao. Sijaona ubora wa huyo bondia mpaka apate hiyo nafasi kwenye pambano kubwa kama hilo. Nadhani wakati umefika sasa tuache...
  15. Mythbuster

    ITV hawawezi kureplay magoli pamoja na kujiita Supabrand

    Sasa ukiangalia tamasha la michezo ndio utachoka yaani ni mazoezi ya IPP media , bonanza la NSSF na mazoezi ya ngumi za akina Kaseba yaani mradi compilation feki kabisa hakuna mchanganyiko mzuri wala highlightsza kutosha . In short ITV michezo is total disapointment.
  16. Mythbuster

    ITV hawawezi kureplay magoli pamoja na kujiita Supabrand

    Hiyo Tv ni very analogue, hawawezi kabisa compile magoli au good parts za mchezo tena wanaboa huwa wanarudiarudia kipande kidogo cha hovyo kabisa. Kutakuwa na tatizo ITV si hivihivi tuu.
  17. Mythbuster

    Magufuli, SUMATRA, sababu za Ajali hizi hapa

    Pamoja na maelezo yako mazuri ya sababu za ajali barabarani kwamba zinachangia kusababisha ajali sababu kubwa kabisa bado haujaitaja yaani uzembe na kutojali kwa madereva wenyewe. Madereva hasa wa mabasi wana tabia ya kuovertake sehemu zisizoruhusiwa tena bila ya kuwa na hakika ya kuona nini...
  18. Mythbuster

    Utafiti mdogo: Foleni ya TAZARA na Matrafiki wetu

    Matrafiki wa Tanzania hawatumii kabisa logic, wao wanadhani kusimamisha magari kwa nusu saa upande mmoja na kuruhusu mwingine kwa muda huo inasaidia? Tatizo hawajasoma hata hesabu za maximum flow. Kinachotakiwa mjini ni kuwa na flow tuu ya magari kwa kila upande kwa reasonable time, sio...
  19. Mythbuster

    Wachambuzi bora watano wa soka nchini

    Dr Leakey anajua historia sio tactics za soka hii ni sababu ya kusoma sana magazeti toka zamani zamani. Ana story sana za kupaka nakshi na chumvi nyiingi, sasa iliposhamili Internet akapotea.
  20. Mythbuster

    Nani anamfahamu John Legend

    John Legend kuna NGO moja anaifund kijiji kimoja kule Urambo Tabora na mara nyingi huenda huko kwa siri. Ni jamaa mmoja muungawana sana na hana makuu. America hutumika sana kuzungumza na kuwatia moyo wanafunzi mashuleni.
Back
Top Bottom