Search results

  1. Taured

    Wanasheria nisaidieni

    Kabla ya kustaafu unapeleka maombi rasmi Kwa mwajiri Ili uingie kwenye bajeti ya mwaka husika wa fedha , lakini ukichelewq kufanya hivyo unaweza kuchelewa kulipwa mpaka hapo utakapoingia kwenye bajeti ya serikali
  2. Taured

    Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...
  3. Taured

    Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Jichanganye uzae na ujidanganye eti hatakusumbua nkuapia hata usutawi wa jamii atakufikisha shauri Yako usijesema hukuambiwa?
  4. Taured

    Dada usikubali kutoa "N'nya" : Hautaolewa abadani

    Matundu 2 Yaani k na nnya yana ukaribu mno mwanamke asipokuwa makini anashutukia imeingia igunga, na hizi style za kichokozi zinaweza kushawishi mwanaume uzame Kwa mpalange, roho wa Mungu atuepushie mbali na haya mbalaa kibaya zaidi Kuna wanawake wanafuraahia hii MICHEZO na wamekuwa wengi siku hizi
  5. Taured

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Kasikilize nyimbo ya prof J , hivi Kwa Nini hutaki kuniamini
  6. Taured

    Kwa wanaume: Kwani vibaya tukija na mashosti wetu?

    Ukiwa na mwanamke kama huyu mtoa mada ujue una hasara tupu Yaani kiufupi bajeti hapo ni zero, hata akiwa ndani huyu wa hivi haoni aibu kutoa vitu mfano vyakula kuwapa hao mashost zake na mwisho wa picha hakawii kukwambia baba Fulani Michele au mafuta yameisha , wanawake wa hivi ni mafala sana...
  7. Taured

    Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

    Wanawake Huwa. Mnazingua sana ukitolewa out agiza kinywaji au chochote kitu ambacho unaweza kujilipia , sio unaagiza mavinywaji au vitu vya gharama kubwa wakati hujui MFUKO una Nini wa huyo bwana Ako au hakikisha huyo mtu wako anakupa uhakika kwamba agiza unachotaka
  8. Taured

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Lile kabila la wajita ni shida tupu kwanza Wana nyodo hao Yaani wahaya wakasome! Haafu Kwa uchawi hapana aisee
  9. Taured

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Wanawake wengi mabonge wanatoa harufu mbaya iwe jasho au ukeni au kwenye matiti unakuta fangasi kama zote , usafi kwao ni shida
  10. Taured

    Kwanini wanawake hawapendi kuolewa na masingle faza?

    Hata wangekuwa 100, shida ni kwamba wanawake mna roho mbaya sana, nimeshuhudia visa vingi vya watoto kunyanyaswa na mama wa kambo, hata kama mwanamke amekutwa na watoto wa kwake atawafanyia wema ila wa Mume Cha moto watakiona
  11. Taured

    Kwanini wanawake hawapendi kuolewa na masingle faza?

    Hizo ni roho mbaya tu za wanawake , mwanamke anaeweza kulea mtoto asie wake katika 100 utaweza kuambulia 2 au 0 kabisa, mtoto anakuhusu Nini au ana makosa Gani SI ukimkuta?
  12. Taured

    Kwanini wanawake wa mkoa wa Kagera wanapenda wanaume wa mkoa wa Mara?

    Mtoa mada uliyoandika hayana ukweli , kwanza ni marufuku Kwa mhaya au mkuraya kuoana ! Hawa ni watani wakioona ni bahati mbaya sana
  13. Taured

    Naomba ushauri: Mke wangu alinificha kwamba ameathirika

    Mtu anaetumia ARVs Kwa ushahihi haambukizi HIV Kwa asilimia nyingi mno na hasa kama unamuandaa vzr wakati wa sex na watoto mnapata vzr tu , ila Sasa baada ya kujua status ndio balaa linapoanzia Nina uhakika hata hamu ya kumsogelea huna! Nendeni Kwa washauri nasaha watawapa namna Bora ya kuishi ...
  14. Taured

    Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

    Sasa Kwa akili ya kawaida mabinti kama Hawa wanaweza kuwa wavumilivu ,wafanye KAZI za shamba??
  15. Taured

    Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

    Siwaongelei Kwa negative way ndio uhalisia ulivyo !
  16. Taured

    Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

    Nisiwajue Kwa Nini? Nimeishi nao , nimeenda sana huko Nina ndugu huko nimesoma wa wahangaza kibao
  17. Taured

    Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

    Sasa ww umekaa huko mwaka mmoja tu, Mimi natokea karagwe ndio NYUMBANI nilikozaliwa nawajua Hawa watu kuliko ulivyoandika
  18. Taured

    Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

    Uliyoaandika hayana ukweli hata kidogo Ngara ni wilaya iliyonyuma sana kimaendeleo Kwa sababu ya watu wake kuwa wavivu sana, wilaya hii inaogopeka Kwa uchawi na wanawake wengi ni wachawi balaa ww nenda kaoe mhangaza kama hujalogwa utaniambia
Back
Top Bottom