Search results

  1. J

    Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

    Na tulipo si kuzuri pia ila heri ya tulipotoka!!!
  2. J

    Tumuenzi Kikwete Historia isije Ikamsahau

    Ili kuenzi mchango wake katika elimu naona wizara ya elimu kupitia NECTA waweke utaratibu wa kuhakikisha kila cheti cha mwanafunzi aliyesoma shule ya kata kinakuwa na nembo iliyoandikwa "Dr Kikwete Product" maana alama zilizo katika kile cheti (na/au ufanisi/uwezo wa kitaaluma wa mwenye cheti)...
  3. J

    Tumuenzi Kikwete Historia isije Ikamsahau

    Napendekeza bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu "High Edecation Student Loan Board" iitwe Dr Kikwete High Education Student Loan Board" maana katika kipindi cha uongozi wake imeweka "means testing" inayofanya kazi kwa ufanisi na kuweza kuwatambua watoto wa matajiri wanaojilipia huku...
  4. J

    Tz: Taifa la kusikilizia

    Kupanga ni kuchagua, kama tumechoka kusikilizia haya yote basi tuamue kufanya kama Misri, Libya n.k na ili tusikilizie ladha ya mabomu ya machozi na risasi za moto kwa ajili ya kukifanya kizazi kijacho kusikilizia matunda ya tutakachokisilizia !!!
  5. J

    Elections 2010 Kwa faida ya wale ambao hawakuipata TAARIFA KAMILI YA CHADEMA

    Umesomeka mkuu. lazima tuwe makini na propaganda za CCM.
  6. J

    Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

    Mhhhh!! Preta huko ni kuujifariji! Hasauliki mtu ng'o. Kumbuka kuwa tukio hili ni mojawapo ya remarkable events hivyo kama huwezi kulisahau bila shaka huwezi kumsahau mliyelitenda naye
  7. J

    Mwanamke mzuri wa kuoa ni mwalimu.

    Kuna sifa nyingine muliyoisahau! Mwalimu yuko mobile anaweza kuishi na kufanya kazi sehemu yoyote. kwa hiyo mme akihamia popote anaenda na familia. Ogopa fani zinazolazimisha mme na mke kuishi mbali kwa sababu ya kazi.
  8. J

    Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

    Angalia msitupe data zilizochakachuliwa! Kwa vyovyote iwavyo, ni lazima busara itumike ila nadhani ishu hii ni ya kwenda nayo kwa makini. Ila tusijikite sana katika kujadili mambo ya ZITO tukasahau mambo ya msingi na kuwaacha mafisadi wakichekelea.
  9. J

    Tahadhari kwa chadema:

    Acheni woga! CHADEMA ni zaidi ya ZITO na Zito alitakiwa kufukiri kabla ya kufanya uamzi wa kutoingia bungeni. Kama vipi alitakiwa kuomba radhi tofauti na hapo avuliwe vyeo vyote. Kimsingi mimi nilimuamini sana na nilidhani mbeleni angeweza kupeperusha bendera ya chama kama mgombea wa urais, ila...
Back
Top Bottom