Search results

  1. Lakitaa

    Ze Comedy na Spika Makinda !

    ni kitu cha ajabu sana kama mbunge wa chama tawala anasema fungeni milango tuzipige sijui watu wakiamua kuzipiga patakalika kweli?
  2. Lakitaa

    Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

    safi sana hiyo maana huko tunapoelekea siko kabisa maana wanataka kuwa kama wanafunzi vile!:angry:
  3. Lakitaa

    Mheshimiwa Mwakyembe Jiandae Kuchukua Nchi

    mimi nadhani mwenzetu amekurupuka sana awe rais kupitia ccm , labda hizo ni njozi tu alizo nazo!
  4. Lakitaa

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    safi sana hiyo na bado watakoma hao chama cha majaambazi!
  5. Lakitaa

    Orodha ya WATAKAOUAWA

    mafisa wote wazandiki na wanafiki wanao turudisha nyuma ktk kuleta maendeleo yetu
  6. Lakitaa

    Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

    hawa jamaa tukiwachekea tutavuna mabua ni watu wa kuwaogopa kama ukoma hawa!!!!!!!!!!:redfaces:
Back
Top Bottom