Search results

  1. Babkey

    Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Pole mwl. Naona ulitaka upige za sikukuu. Usijali, tutaweka.
  2. Babkey

    Mkurugenzi Manispaa Sumbawanga unatesa Wananchi

    Huyo Jamaa ni mjinga sana.
  3. Babkey

    Jitahidi kutoa ushuzi unapotaka kutoka

    Nakazia zaidi; kwa sasa rais wa Ukraine anashikilia rekodi ya kujamba Mara nyingi zaidi
  4. Babkey

    Jitahidi kutoa ushuzi unapotaka kutoka

    Tujambe jamani....ikibidi iwepo na siku ya kuachia ushuzi kabisa.
  5. Babkey

    Mjadala: Kwanini wanaume wengi hufa mapema? Wanawake tuhurumieni please...

    Ni kawaida hiyo, hata mifugo nyumbani....Unakua na jogoo mmoja kwa mitetea 8-10, dume moja la mbuzi kwa majike kadhaa. So ni asili tu chief.
  6. Babkey

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Ipo hivyo tangu nimeanza kupiga kura.
  7. Babkey

    FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

    Bado zinafanya kazi hizi!!!?
  8. Babkey

    Uchaguzi 2020 Mbinu za kumuombea kura za ndiyo Tundu Lissu 2020

    Teh teh.... Njia nzuri ni kumuomba uncle M' ajitoe kwenye uchaguzi. Akikubali tu....njia nyeupeee.
  9. Babkey

    Msaada wa tiba nikisex na mr natokwa na vitu kama maziwa mgando

    Meza vitunguu swaumu vya kienyeji punje 2x3 kwa siku tano. Ila muhimu, muone daktari.
  10. Babkey

    Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

    Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
  11. Babkey

    Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

    Bongo wanasiasa wa upinzani karibu wote ni waigizaji tu. Kilele nyiiingi, matendo sifuri.
  12. Babkey

    Kama si uswahiba basi ana kifundo chake maana hakuna Waziri mbovu kama Kamwelwe

    Teh teh......kwa kesi ya miundombinu, mhusika anajifahamu. Au vilijengwa wakati wa huyu!!!!?
  13. Babkey

    Kama umefanya mapenzi leo pita hapa

    Ngoja nikafanye kwanza...
Back
Top Bottom