Search results

  1. C

    I love you!!!!!!!!!!

    kama mtu amekuambia hakutaki maana yake hakutaki, sasa ww unaendelea kufukuzia kitu gani? humjui hakujui! tena kwa sasa ni bora uepuke na mahusiano kabla ya kupima ngoma huwezi jua Mungu anakuepusha nini? kaa chini ufikirie kama hakupendi hachana na kama amesema hataki olewa na wewe mwache dont...
  2. C

    Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

    Baba mzazi kama kweli anampenda mwanawe ajue wazi kuwa huyo mke si wake bali nijinamizi maana amekuwa katili sana hana chembe hata ya huruma hata kama mtoto aliiba hela ndo amng'ate meno? labda aliona wivu wa kufaulu nakuwa wa 10 bora. Huyo mke ni balaa. hafai. hela yenyewe kapewa na baba yake...
  3. C

    Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

    pole nyingi kwa mtoto aliyeteswa, ila mimi ningependa kujua nini msimamo wa mzazi na sheria imechukua mkondo gani? mtoto anaendeleaje? col.
  4. C

    Bodi ya wakurugenzi wa LHRC wamethibitisha kuchaguliwa kwa Dr Slaa kupata tuzo!

    sherehe itakuwa wapi na jinsi gani ya kushiriki?
  5. C

    Bodi ya wakurugenzi wa LHRC wamethibitisha kuchaguliwa kwa Dr Slaa kupata tuzo!

    Mimi mgeni katika site hii, hiyo sherehe itakuwa wapi na tunashiriki vp? ahsante. col.
Back
Top Bottom