Search results

  1. leroy

    Tresuary bills na tresuary bonds za BOT

    1. Muda: Treasury bonds zina muda mrefu wa kukomaa, ukilinganisha na Treasury bills ambazo zina muda mfupi wa kukomaa. Hii inamaanisha kuwa wawekezaji wa Treasury bonds wanakabiliwa na hatari ya riba kwa muda mrefu zaidi. 2. Kubadilika kwa Thamani: Thamani ya Treasury bonds inabadilika zaidi na...
  2. leroy

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Wanaomchukia sasa hivi wanakula Ruzuku!
  3. leroy

    Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Muziki wa Afrika Mashariki bado uko hai na unaendelea kubadilika. Ingawa muziki wa Nigeria umepata umaarufu mkubwa katika miaka ya hivi karibuni, hii haimaanishi muziki wa Afrika Mashariki umepotea. Kuna wasanii wengi wenye vipaji kutoka Afrika Mashariki ambao wanatoa muziki bora katika aina...
  4. leroy

    Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
  5. leroy

    Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Tamaaaaaraaaaaaaaaaa-Hard Mad isikilize hii pini kwenye music system yenye thamsni ya TZS milioni 5 utaona ubora wake.
  6. leroy

    Tresuary bills na tresuary bonds za BOT

    1. Tofauti Kati ya T-Bills na T-Bonds: Kipengele T-Bills T-Bonds Muda wa Kukomaa Siku 35, 91, 182, au 364 Miaka 2, 5, 7, 10, 15, au 20 Riba Aina ya riba ya punguzo (discount rate) Aina ya riba ya kuponi (coupon rate) Hatari-risk Chini Juu Uwekezaji wa Chini Tsh 500,000 Tsh 1,000,000...
  7. leroy

    Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

    Kama anajamba mshukuru Mungu ana afya. Wapo wanaotamani hata kujamba na wanashindwa.
  8. leroy

    Nichague ipi kati ya Fiber TTTCL vs GoFiber?

    Ipo maeneo machache. Wasiliana nao for details. GOfiber - High Speed fiber internet for your Home - Dar es Salaam, Tanzania
  9. leroy

    Rais yupi ana speech zenye mashiko (Tanzania)?

    Magufuli ni kila kitu. The Best ever.
  10. leroy

    Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    Ukitaka vitu vizuri kuwa tayari kugharamia. Achana na vitu vya laki laki
  11. leroy

    Nichague ipi kati ya Fiber TTTCL vs GoFiber?

    Napata raha duniani na GOFIBER. Wanatisha.
  12. leroy

    Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Lenovo Thinkpad is my choice
  13. leroy

    Kwa kauli ya Rais Samia kwa Hussein Mwinyi, Je kuna fukuto ktk Familia ya Hayati Mzee Mwinyi?

    Kwa Sitti kuna sita 1. Wa kwanza Mwanamke (Sijui jina) 2. Wa pili Abbas 3. Wa tatu Dr Hussein 4. Mohamed 5. Abdullah 6. Amour Kwa Khadija kuna watoto sita 1. Asha 2. Fatma 3. Njuma 4. Salama 5. Halima 6. Asma
  14. leroy

    Uleigwanan wa Lowassa wadaiwa kugombaniwa na wawili wa familia moja ya Ole Shangai

    Mleta uzi atakuwa ni Emmanuel Ole Shangai mwenyewe
  15. leroy

    Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

    Nalipa 200,000 umeme kwa mwezi sawa na units kama 550 hivi. Kwa siku average ni units kama 18 hivi. -Nawasha AC full time chumbani -Nina friji kubwa sebuleni na Dogo chumbani -Nina washing mashines -Nina Air matress -Music systems -Nina appliance nyinginezo
  16. leroy

    Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

    📢 Calling All Super Mamas! 🦸‍♀️
Back
Top Bottom