Ndiyo siasa za Bongo hizo .... ni UONGO UONGO tu. Usipokuwa muongo hufanikiwi.
Hapo hapo bado kuna ile ahadi ya kuwapeleka wana Kawe Birmingham.
Hivi kuna Mchungaji MUONGO kuliko huyu Bwana kwa Tanzania yetu ....!!?
Yaani Bashite apewe kazi maalumu kama hiyo ....!!?
Anyway, kwa CDM haiwezekani hata kidogo hata kwa kufikiria tu ..... sidhani hata kama wanaweza kumkaribisha kama Member wa kawaida tu ....!!
Hii ya tatizo la moyo, inaitia Mashaka kwa wengi. Kwa nini hakupekekwa UK au Germany kwa wataalamu zaidi na vyombo vya kisasa.
Bora angesema tu ni Corona watu wange elewa kidogo.
Wahuni tu hao.
Mafuta yakishuka bei wao hawashudhi au wananadhusja kidogo lakini yakipanda bei wanawaoiga wananchi kisawasawa. Hii ni cartel ya maharamia fulani duniani.
Kuniita mimi mjinga hakukufanyi wewe uwe na akili. Hiyo ni mfano tu. Wewe huoni kama kuna kitu kisicho cha kawaida hapa. Yaani kila mwaliko mtu anatoka na PhD. Yah right....!!
Yaani hizi honorary degrees inatolewa sana kwa viongozi wa Afrika kwa vile wamewaona ni malimbukeni. Akina Mangungo walikuwa wanahongwa shanga, sasa wanahongwa degree. Huwezi kusikia akina Putin, Modi, Erdigan au Sunak ametunukiwa hizo shahada. Likitokea hawatatumia hizo title.
Kitu cha...
Alijua tofauti. Ndiyo maana hawakujiita CPA lakini wakajiita Dr.
Watu wanashindwa kujiuliza tu kitu kidogo, hivi kwa nini ukiangalia news BBC, CNN etc huwezi kukutana hizo title zikitumika!? Hivi wenye hizo title hawahojiwi kwenye international media...!?
No wonder zinatembea mtaani. Ndiyo design zako.... No wonder hata wajinga ujinga kama wewe wanazo.
Mimi siihitaji hiyo title fake, tayari nina title inayotambulika duniani. Nikipenda mahali siihitaji kuelezea maana ya title yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.