A company??? Name less! why dont you put the required qualifications and adress? some people have their identities hidden in this site, by asking them to PM and then come for interview(s) will automatically reveal their identity which they have hidden for reasons. Be careful girls.
Kaa nae mtafakari tatizo lilipo anzia, vinginevyo utazunguka sana kwenye kila kanisa na mwisho utaenda piga ramli kumtafuta mchawi. Kama unamwamini Mungu jifungie chumbani kwako umweleze vile unateseka, unavyojisikia. For sure ther is a simple solution. Usiwaeleze watu, leo tun manabii wengi...
Taarifa imejieleza, wana ndege zisizozidi 3, hapo probability ya kusafiri ni akili kichwani, maana hata wateja tunahofia usalama kuzipanda maana haziishagi matengenezo zile.
Tanzania Yetu ndiyo Nchi ya kupendeza, Kote ulimwenguni watu wote watambua, Tanzania yetu ndiyo nchi ya Furahaaaaaaaaa. Shhittttt. Hivi huyo Lowassa anadhani yeye ni Mungu Ama? Huyo mtu wa watu si ajabu ni marehemu sasa. Hataki kuitwa jina/cheo chake? FISADI MKUU nimeongeza
Kigamboni iko Dar es salaam Tanzania, Wamarekani wamemilikishwa maeneo, hatutarajii wawe na hati ya kumiliki na tuendelee kuyaita yetu. Swali ni kwamba, hilo daraja lililoombwa ni kwa manufaa ya nani atakayekuwa akiishi huko Kigamboni? Mmarekani au mTZ?
Hivi ni kweli Wamarekani wamezawadiwa eneo la kigamboni in exchange na ujenzi wa Daraja?
Swali langu: Hivi iwapo watajenga hilo daraja, litakuwa ni kwa faida ya waTanzania au wa Marekani watakaokuwa ndio wakazi? Je, iwapo hao waMarekani watajenga, je wakazi waTanzania wataendelea kuvumiliwa nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.