Search results

  1. N

    Nawaomba mniombee msamaha kwa mke wangu!

    Pole sana lakini iwe fundisho na kwa wanaume wengine. Mimi sioni sababu ya kukuonea huruma utatupa evidence ipi kama tabia uliyokuwa nayo imebadilika au ni kwa kuwa uko alost sasa? Yaani imenisikitisha sana kama mwanamke kumbe huwa mnatake advantage tu. Muache apate atakayempenda kama...
  2. N

    Unataka kuoa uchagani?

    Heeeh umesahau watauliza je una vyombo vya kuparikaaaa?
  3. N

    Mitihani

    Kweli inafika mahala umegraduate then hujui ht umesoma nini, sababu unasomea mitihani tu, but we need to change. wenzetu yaani developed countries wanachofanya mwanafunzi anapewa assignment then anaifanya kwa kutumia any topic of interest on that field/subject yaani lecturer anatoa mwongozo tu...
  4. N

    Una kazi?, Una nyumba?, Una gari?, Una...........???!!

    Mpe pole jamaa...kweli huyo mzee ni very materialist, bora hata angemuuliza kijana anasali kanisa gani?
  5. N

    CHUKIi!!

    Pole sana Lizzy, ila jitahidi kuondoa hasira na kujenga chuki juu yake. Wazungu wanasema..anger does more harm to the vessels in which it is stored than into vessels it is poured. At the end of the day you are the one who suffered while mwenzio anakula raha tu. Kuhama haisaidii just pray to God...
  6. N

    Sasa mnaudhi na kukera!

    Kweli kazi ipo sijui huko tuendako itakuwaje...? Mungu atunusuru jamani. Ina maana hata vioo hawana wakajiangalia kwanza kabla ya kutoka au?
  7. N

    Hodi wakubwa

    Unakaribishwa.
  8. N

    Kibinti kina miaka 16 ya kuzaliwa, experience ya miaka 40: HAKISHIKIKI!

    Mi wala simlaumu binti ..nyinyi wanaume hamjiulizi? huyo ni kama mtoto wenu, msingemtongoza wala yasingemkuta angejiona bado mdogo, sometimes tujiangalie na sisi..kweli wanaume mtatumalizia watoto.
  9. N

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Tumetoka kwa udongo tutarudi kwa udongo. Mungu awape nafuu walioathirika wote.
  10. N

    Huyu ndiye Matonya!

    Kwani kajifanya ana ugonjwa wa akili au? Kwa nini alalie maji machafu msaada angepewa tu bila hata kulalia hayo maji.
  11. N

    Mbwa Afungishwa Ndoa

    Kweli tunamtania Mungu sasa.
  12. N

    Mapenzi

    Mi naona ni vice-versa hiyo wewe umejuaje anashindwa kukwambia anakupenda. It's you man...just play the game.
  13. N

    msaada wa mawazo!

    Unajua Ossy, tunashindwa kujua nini tufanye tunachokipenda, mi nafikiri muulize yeye binafsi anapenda afanye kazi gani, na mandhali kafaulu vizuri basi atakuwa na opportunity nzuri ya kuwa na choice kubwa ya courses kutegemea na kazi gani atapenda ifanya. Otherwise naona ni kinyume kumchagulia...
  14. N

    je wajua kama Osama yu hai!!!!

    Bora umeliona hilo Jabulani.
  15. N

    "Naomba likizo"

    lol.! makes fun
  16. N

    how do you control your anger?

    Good boy..!!
  17. N

    Nimempenda mtoto yatima aliyelelewa kituoni.

    Naunga mkono ushauri wa Gaga na Asha D fanya kama walivyokueleza na hongera sana
  18. N

    Happy mothers Day

    Thanx alot
  19. N

    Osama bin Laden killed!

    Too much of anything.....malizia mwenyewe
  20. N

    Happy mother's day 2 all mamas in jf'

    Thanks kweli we deserve that.
Back
Top Bottom