Search results

  1. N

    wanaume tu ndo wasome hapa........

    Weeee soma tena huo uzi, haujaelewa alichomaanisha.
  2. N

    Tujikumbushe kwa haya kutokana na kukamatwa kwa Mbowe, Dr. Slaa na Lema!

    .Hey acha mambo yako hayo, kalale huna jipya
  3. N

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Wembe ni ule le Mnyika, hakuna kufuta kauli tuone itakuwaje
  4. N

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Kaka hawa watu wamekusudia, kwanini iwe MWANZA, MBEYA, NA ARUSHA TU, au kwa sababu CCM hawakupata kura huko?
  5. N

    Tuntemeke Sanga: Mbunge aliyekuwa na elimu ya Shahada 7, aliyechachafya miaka ya zamani

    Acha uongo, alikuwa mbunge toka bunge linafanyikia Karimjee hall, hivyo aliingiaje bungeni kama alichimbwa mkwara wa kutokufika Dar?.
  6. N

    Chadema kuandamana nchi nzima tarehe 16, kuupinga muswada......!

    Acha longongo we ndugu, vuguvugu za siasa zinaanzia vyuoni ndugu yangu, kina ZITTO, MDEE, EMANUEL NCHIMBI, na wengine wengi, segele wameanza nalo toka wakiwa wanafunzi wa vyuo, leo ndiyo wanaosikika na kutawala kurasa za mbele za magazeti, kuwa makini.
  7. N

    Sugu na Koffi Anan

    Ulisemalo ni kweli, what ever the case,Sugu ni mbunge wa mbeya mjini na anaaminiwa na wapiga kura wake, MENGINE YOTE NI WIVU TU
  8. N

    Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

    Bint tuliza boli,muda wa wewe na baba yenu wa kutesa umeshakwisha hata kama utajikomba vipi haisaidii, Omba kazi TIB( Tanzania Investment Bank) yawezekana wakakupangia kazi kwenye kiwanda cha nyama cha baba yako pale Swanga ili umsitiri baba ako,maana kiwanda kipo chini ya TIB ili kidhibiti...
  9. N

    Meseji hii ilinishtua sana!

    Loooo kaka hiyo siku baada ya kupata hiyo meseji kwa kweli hata mimi nilichanganyikiwa,ilibidi nipige simu kuhakiki kama kweli MWAKA ana hali ambayo sio ya kupona,maana kuna rafiki yangu anaitwa MWAKA, na kweli huwa ni dereva, hivyo nilifahamu kuwa lazima amepata ajari,mbaya zaidi sipo TZ nipo...
  10. N

    Miss rwanda 2010 grace bahati is stunning…!!!

    Looo bora wakubwa woote wafe ili nasisi watoto tufaidi, kwa kweli huyu dada yuko kitoko(mzuri saana.
  11. N

    Tido Mhando atemwa TBC

    Ndiyo maana yake
  12. N

    Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

    Muache ajaribu ufisadi labda na yeye utamlipa.
  13. N

    Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

    Chadema acheni migogoro isiyo na faida, mnatuvunja mioyo, 2015 siyo mbali, tutawapima viatu tena,mmepata kidogo tu mnaanza kugombana, mkipata kikubwa itakuwaje?
  14. N

    Serikali ipo tayari kukutana na Chadema...kulikoni?

    Soma magazeti kila siku asubuhi na mapema kaka
  15. N

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Sawa sawa, ngoja tujifunge vibwebwe, kitaeleweka tu siku moja.
  16. N

    Kafulila kafulia

    Viongozi wa Tanzania huwa hawakubali ukweli na kujiuzulu kwao ni kwa mbinde kama kina Msabaha na mwenzake
Back
Top Bottom