Search results

  1. F

    Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    Mleta mada ndugu yangu pole sana..mimi ningependa kukupa moyo sana Mungu ni mwema sana na anakupenda..na pia kuna watu kibao wanakupenda usifikirie kutwaliwa Mungu ana makususudi na wewe mm napitia kipindi kigumu sana tena bora ww ni mtumishi wa mungu atakufanyia njia ...binafsi nilikuwa na kazi...
  2. F

    Miili yetu hii ina mambo!

    Mbona mzuri jamani kila mtu amshukuru Mungu kwa jinsi alivyomuumba kwani ni neema tu..yy amejikubali na maisha yanaendelea. Tusithubutu kudhihaki kwa namna yoyote
  3. F

    Nauza mkaa kwa bei ya jumla

    Unaweza.kuweka picha ya hilo gunia mm nahitaji gunia 10 nipo kitunda na pia utapata na wengine..nipm.number yako
  4. F

    Data analyssis, monitoring and evaluation course

    Mm pia nahitaji sana kozi hii unaweza kuniambia gharama yake.ni bei gani
  5. F

    Kuwa milionea kwa kuwekeza katika mashamba ya miti ya mbao

    Ekari moja ni shiling ngapi
  6. F

    Umeichoka ndoa yako?

    Nitakupataje...mi sitaki ht kusikia khs ndoa
  7. F

    Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa

    Bei gani mkuu mi nahitaji hiyo
  8. F

    Jinsi ya kupata mimba haraka

    Eti kuna couple inaweza kuwa na damu ambazo hazishabihisni hivyo kutopata watoto..km ndivyo je km ni wanandoa wafanyeje
Back
Top Bottom