Search results

  1. L

    C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

    Kwasababu ana Mchumba. Padri huwa hawi na mchumba.
  2. L

    Nilimuamkia mngoni nikakoma .

    Mimi huko huko nilisikia mama mmoja akiulizwa na mzee 'uni uhakika na unichokinena? Nasemi hivii uniuhakika na unichokisimi? Hii ilikuwa ni baada ya kumpa mzee wa kingoni taarifa ambazo alikuwa haziamini.
  3. L

    Nilimuamkia mngoni nikakoma .

    Nami, hii imenikumbusha hotuba ya mgeni rasmi kutoka mkoa wa Mara. Alianza kwa kusema ''nashukuru kupata nafasi hii kwani mwaka jana muriniarika nikaharisha, lakini leo nimefurahi sana nimekunya mbere yenu na wote mneniona''
  4. L

    A good answer to an impossible question.....

    He! One is vertical and another is horzontal
  5. L

    Tido Mhando nae Ang'oa

    Ni kwamba; hawa viongozi wa 'kidumu chama' hawataki kufanya kazi na mtu anaye analyze mambo na kufanya interpretations za situation. Mfano Nape walitaka kumprun kwa sababu hio.
  6. L

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ukimwona kobe juu ya mti, ujue kapandishwa. Jogoo hauwawi na utitiri.
  7. L

    Kikwete Kutunikiwa PHD nyingine leo?

    Wewee! Uchaguzi wa 2005 tulitumia mpya, mpya 3 na mwaka 2010 'zaidi', 'zaidi' 3 hizi za kwako za 'kubwa, kubwa' tutazitumia 2015 kama tutakosa maneno mengine.
  8. L

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Kama tatizo ni kuridhisha mpenzi wako, basi urefu au unene hausaidii. Kwani sehemu za mwanamke ambazo zikiguswa zinamletea mhemko hazipo ndani bali zipo nje. Kwahiyo hebu jaribu kutumia hiyo shaft yako ya sasa na ichezeshe hapo sehemu za nje, usikimbilie kuingiza ndani. Kisha nipe jibu kama...
  9. L

    Mahakama ya kadhi hii hapa!

    Kenya ina mahakama ya Kadhi, je ni ya kiislam?
  10. L

    Ladies Na Pairs Luluki Za Viatu: Why?

    Sio viatu tuu. Yaani hata kama ametoka kununua kitu flani jana, leo utaona anafanya window shopping ya kitu kile kile. Pengine sababu ni kwamba bei ya baadhi vitu vyao si kubwa.
  11. L

    Wakati wa kuchimba dawa safarini

    Imekuwa ni kawaida wakati wa safari ndefu, dereva anasimamisha basi porini ili abiria wachimbe dawa. Sasa siku moja nilikuwa nasafiri. Tulipofika kwenye kuchimba dawa, nikasikia katoto ka kiume kanamwambia mama mmoja:- 'Mama naomba unikojoze',! yule mama akamvua yule mtoto kaptula ili akojoe...
  12. L

    Mashindano ya Ufupi Dunian

    Kulikua na mashindano ya kumpata mtu mfupi kuliko wote duniani. Jamaa m1 alikuwa mfupi kama chupa ya bia, alipokwenda kwenye ukumbi wa mashindano akakuta mlinzi getini ni mfupi amekalia kiberi cha njiti. Hebu fikiria washiriki waliopo ndani watakuwa wafupi kiasi gani?
  13. L

    Nimfanyaje huyu dada

    Kama unaye mke please mpotezee huyo. Ukijifanya KIBOLO DINDA utaona kila siku wapo wanawake wengi sana wa aina hiyo.
  14. L

    Majina ya Kichaga!

    Swai Shio Uisso Kilasara Shayo Ngowi Ninatubu Massawe Macha Mwacha Maro Kileo Kinabo Mroso Mushi
  15. L

    Vifupi na maana zake.

    LHD Labda Halina Dereva SU Sukuma Udandie
Back
Top Bottom