Search results

  1. N

    Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

    nikwambie MaryGlory, uzoefu wa maisha umenifundisha kuwa kisasi kinaumiza zaidi, kuliko hata maumivu ya kukosewa.
  2. N

    Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

    Achana na roho ya kisasi, utajuta baadae!Alafu mbona unajifanya una uchaji wa Mungu na kumbe ....! Haijalishi mbaya wako alikukosea nini lakini hastahili kutishiwa kutolewa uhai wake. Huoni hata hatari ya kuja kuanika huu upuuzi wako hapa, kesho akauawa si utaambiwa ni wewe?Tuliza hasira...
  3. N

    Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

    kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kiujazacho moyo wake.... Huyu dada nakumbuka alikuwa na bifu na drphone hapa mara ya mwisho kuwasoma. Sasa naona karibu watauana.
  4. N

    Kuna watu...

    Nawachukia sana wanafiki, kutoka moyoni! siwezi kuelezea chuki yangu kwa binadamu wa namna hii lakini NAWACHUKIA.
  5. N

    Kuna watu...

    binadamu wengine ni wabaya/hatari heri wanyama pori. wanajifunika ngozi ya kondoo na ndani ni mbwa wa mwituni kabisa. rafiki mnafiki hana tofauti na muuaji. Do not trust people until your are satisfied enough with the reason they give you to trust them. mijitu mingine ni BS! Heri kufanya...
  6. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Cheuro nimekusoma na nimeelewa to any general rule there is an exception.
  7. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Na wote tuitao 'Rabi Rabi' LAZIMA tuurithi ufalme wa mbinguni.
  8. N

    Behind any frustrated man there is a woman

    Gaijin ni kweli kabisa, wengine ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo!
  9. N

    Mzee wangu ananichanganya

    Jaba, samahani kama nimekukwaza but I didnt mean to!
  10. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Acha uongo wako na wewe hapa, wayii!!
  11. N

    Nini dawa ya kuacha kutembea nje ya ndoa?

    unatishika nini? Ukila vya wenzio na vyako vyaliwa. Umekuja hapa kifua mbele kuwa wewe ni kidume cha ku cheat....acha uelezwe ya kweli sasa.
  12. N

    Master j jana kachemka vibaya bss

    Nashindwa kuwashangaa, maana walikuwa na uwezo wa kumtema kwenye auditions tu basi.
  13. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Hapo sasa, iwe kiujumla au binafsi hakuna atakayekubali hili. Mkurya mwenyewe atakana kuwa wanatahiri wanawake, hata muhehe atabisha kula mbwa Sasa iweje mchaga akiri hii 'bad practise'
  14. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    I have stated one and does that draw the conclusion anyway?! (nimesahau kabila lao hao G ila wanatoka kumoja) )
  15. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Here I am Gaijin....
  16. N

    Behind any frustrated man there is a woman

    Umefikia wapi mbona husemi?
  17. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Gaijin, usipende kudadisi, vingine vikupitage tu.
  18. N

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    hizi tamaa za mwili zilizopitiliza..... Mama jirani yetu alijiua baada ya kugundua binti yake wa kumzaa alikuwa akitembea (si barabarani) na baba yake! Aliamka siku hiyo akaenda saluni kutengenezwa vizuri akarudi akabwiya klokwini za kutosha basi.... (msiniulize kabila tafadhali)
  19. N

    Nini dawa ya kuacha kutembea nje ya ndoa?

    have u listened to urself? Have u looked at urself?
  20. N

    Master j jana kachemka vibaya bss

    mams, i hope u r nt reffering to my post kuwa nimempa sifa Joakim!! Mimi nimemjibu aliyesema J hana shule. Apart frm that sisifii alichofanya.
Back
Top Bottom