Search results

  1. D

    Imetokea loliondo

    Mzee Wa Loliondo Inasemekana Mzee kaoteshwa dawa ya kutibu “magonjwa yote ”. Wapo watu wanaoamini kuwa ni kweli inaponya na wapo wale wanao tarajia iponye magonjwa yanayowasibu vile vile wapo wengine matarajio yao ni kupona magonjwa wanayofikiria. Kupatikana kwa dawa hii tunaweza kuangalia...
  2. D

    Umepata kikombe kwa babu loliondo

    Mzee Wa Loliondo Inasemekana Mzee kaoteshwa dawa ya kutibu “magonjwa yote ”. Wapo watu wanaoamini kuwa ni kweli inaponya na wapo wale wanao tarajia iponye magonjwa yanayowasibu vile vile wapo wengine matarajio yao ni kupona magonjwa wanayofikiria. Kupatikana kwa dawa hii tunaweza kuangalia...
  3. D

    Wife and Girlfriend

    Wife is like a TV, Girlfriend is like a MOBILE. At home u watch TV, But when u go out u take ur MOBILE. Sometimes u enjoy TV, But most of the time u play with ur MOBILE. TV is free for life, But for the MOBILE, if you don't pay, the services will be terminated. TV is big, bulky and most of...
  4. D

    Newly married husband

    After 15 years, Jamaa katika sherehe ya Christmas alimwita mkewa HONEY, naomba unipakulie chakula, Jamaa alikosa kabisa huduma hiyo. Mke alikuja juu!!!! .........leo nimekua Honey wako, kwani ni kitugani nimebadilika? (kawaida humwita mama............). Happy New Year Wish... 2011
  5. D

    Happy New Year Wish... 2011

    happy new year jf members, na mungu awape afya nzuri, ya mwili na akili.
  6. D

    Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

    Kajifunza tayari kuliongoza?
  7. D

    Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

    Mtu kuwa kiongozi yoyote Makini ni lazima huhandaliwa katika itikadi na imani anayo lelewa. Tangu unapata fahamu (utambuzi) unaelekezwa kuwa na Mtazamo, Msimamo, Mwonekano, Mwelekeo, Kwa manufaa ya waliokuandaa. Na nikweli sana haiwezekani ubadili (utoke, uhame ) kwa waliokuandaa Na usiwe...
  8. D

    Naomba kujua tafadhali!

    Kama ukipata nafasi pitia taarifa ya Gavana wa Bank Kuu siku alipokuwa anatangaza kuwepo kwa Noti Mpya, alitoa sababu ni kwa nini Noti inabadilishwa. Lakini pia kubadilika kwa Rangi inaweza kuhamasisha watu kutamani kuzipata, na ili uzipate ni lazima ufanye kazi halali . Kazi halali + Noti...
  9. D

    Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

    Watu katika Uongozi makini mara nyingi huwa wanaadaliwa toka mwanzo. Kiongozi wa chama chochote sahihi huandaliwa toka awali kwa kufundishwa itikadi na maadili ya chama husika. Kiongozi huyu aliyeandaliwa huwa ni vigumu sana kubadilika alivyo aminishwa. Hata kama atabadili chama kutoka kilicho...
  10. D

    Eti ni kweli maprofessor hawajui mapenzi?

    Wengi wa Maprofessor huwa na mipangilio maalumu ya maisha yao ya kila siku. Mambo yao mengi huwa kwa appointments. Ikibidi afanye mapenzi bila appointment, inawezekana akaonekana hajui mapenzi.
  11. D

    Desmond Tutu at JF Doorstep for Networking Needs

    Kwani kuna kosa gani Majina Kufanana. Lakini yeye hajasema ni Desmond Tutu yupi kati ya wale tunaowasikia.
  12. D

    Mabadiliko ya thamani ya pesa . . .

    Kidogo Mkuu, hapa bado hujaeleweka. Tatizo hapa ni nini? Au shilingi inavyoweza kupanda na kushuka thamani?, ulikuwa na maana gani fedha ndani ya bank ( a/c ) na iliyopo nje ya Bank kithamani?.
  13. D

    Customer complain

    Hii Kali. Check bei labda ipo juu?
  14. D

    Hakuna Haraka Kubadilisha Noti.

    Gavana wa Banki Kuu alipokuwa anatangaza kuanza kwa matumizi ya Noti mpya hapo January Mwakani 2011, alisisitiza hakuna mda maalumu wa mwisho kubadilisha matumizi ya hizi Noti zinazotumika sasa, hivyo watu wasikimbilie kwenda kuzibadilisha. Zitabaki ni fedha halali mpaka hapo zitakapo potea...
  15. D

    Bank of Tanzania Kubadilisha Notes.

    Kitendo cha kubadilisha notes ni sawa na kuongeza fedha katika mzunguko huu wa kasi ndogo uliopo sasa. Na hii inahashiria kutokuwa na usawa katika Pato la Taifa, thamani ya bidhaa pamoja na huduma zilizozalishwa ( GDP ) ukilinganisha na fedha zilizopo katika mzunguko. Kwa mtazamo huu ni...
  16. D

    Salaam wanajamii forum

    Wasalaam wanajamii nimekaribia jamvini naomba Mungu aniongoze kujifunza kutoka kwenu na kuweza kutoa mchango wangu
Back
Top Bottom