Search results

  1. F

    Ushauri Tuwekeze Ndege za Mizigo

    Nashukuru mada hii imefufuka tens baada ya majadiliano ikulu kati ya Raisi na wafanya biashara
  2. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Kuna hati za halali kabisa na Raisi anazijua kwenye barabara hii zipo zaidi ya 81 zimetolewa kiuhalali miaka ya nyuma. Kwanini vipande vingine walipwe hiki wasilipwe kwanini?
  3. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Sawa anao uwezo lakini si kwa njia ya kuonea wapiga kura wake Usiwe na hati ya nyumba kama utapewa hata mkopo bank ina umuhimu wake tena mkubwa sana
  4. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    wengine mpaka matatizo yawakute ndio akili zinarudi
  5. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Kabisa lazima tujali utu kuna wengine wanafanya kebehi sana humu
  6. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    watu na Hati halali za ardhi toka 1964 wewe hujazaliwa unasema hawajafuata sheria wamepewa building permit na serikali hii labda serikali waliopewa sio ya Tanzania wakalipia kodi za majengo Ardhi bado unadai hawafuati sheria
  7. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Inawezekana kabisa una majibu yako kichwani mwako sababu unashawahukumu wakazi wote walipata pesa kwa kuiba na rushwa njoo na id yako halisi ili ujue uhusika wa Raisi labda useme Kimara mpaka Kiluvya iko Congo
  8. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    hujamaliza soma uzi wote ndio maana unakurupuka angali hapo juu kama baadhi ya wakazi hawana hati halali za makazi na wanazilipia kodi
  9. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    hajawahi kukuta wewe angalia hapo juu kuna wananchi wanazo hati miliki za ardhi kwanini serikali ilitoa hizo hati miliki,kwanini serikali iliwapa ruhusu na hati za kujenga,kwanini serikali ilipokea kodi stahiki kwenye hayo maeneo
  10. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Raisi ndio kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano Kiwanja unaweza uziwa na mtu yoyote lakini mpaka ukipata hati halali ina maana serikali imekukubali,ukapata kibali cha kujenga ina maana serikali imeona umuhimu wako. Kwahiyo Tanroads ipo chini ya serikali kuu Raisi anaingia moja kwa moja
  11. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    sasa wazee wa miaka 65 unawapeleka wapi angalia hiyo video inasikitisha sana
  12. F

    Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Inasikitisha zaidi wakazi wa hati halali za maeneo husika na wanalipa kodi za majengo
  13. F

    Miradi ya wanafunzi ICT na Engineering iegemee kwenye kilimo....(agritech innovations)

    Wazo zuri tatizo uwezeshaji wa serikali nilipokua chuo nilitengeneza site niliyoita kilimochetu ili kufanikisha link kati ya wakulima na wachuuzi,kuna tatizo kubwa sana kwa wakulima kwanza wakosa taarifa sahihi kulima kilimo cha kisasa,cha pili wakulima wengi wanalima mazao bila uhakika wa...
  14. F

    Ushauri Tuwekeze Ndege za Mizigo

    Tujikite kwenye hoja tuchangie,tushauri ili shirika hili lisirudi tena shimoni..
  15. F

    Ushauri Tuwekeze Ndege za Mizigo

    Ukisoma vizuri nimesema sasa tunayo mizigo ambayo inapitia Kenya kwenda Ulaya na Marekani kama Maua na chakula kwa sababu ni ndege moja tu inatua Kia nayo ni KLM kwahiyo soko lipo,na waliowekeza kwenye hii sekta wanasema challenge yao kubwa ni Cargo planes wanalo soko kubwa nje tatizo ndege za...
  16. F

    Ushauri Tuwekeze Ndege za Mizigo

    KUFUFUA ATCL USHAURI WANGU: Serikali ya awamu ya tano imeiamua kununua ndege kufufua shirika letu la ATCL ambalo lilikuwa mfu.Zimekuja ndege mbili kuna nyingine zinazidi kuja nazipongeza hizi juhudi za wazi kufufua shirika letu la ndege,hata tukiangalia Ilani za vyama 2015 nyingi ziliongelea...
  17. F

    Upinzani Tanzania unanipa shida

    CUF nimeshasema wana shida zao waweke pembeni. Ukisema upinzani mmoja unakosea mbona hukusema 2015 upinzani mmoja tu ambao ni Chadema,tufunguke zaidi
Back
Top Bottom