Search results

  1. M

    Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

    Mimi nina mtizamo tofauti. He's good and confident. Anajua what he is talking about
  2. M

    Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

    No, he is not wrong nor are you. Skeju: American Shejwo: British
  3. M

    Wadhamini wa Tundu Lissu wawasilisha maombi ya kibali cha kumkamata

    So...Mahakama imetoa uamuzi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

    Kwa nini yeye ndiye afanye kila jambo? Viongozi wengine kwako wapi na wanafanya nini kuhakikisha kuwa inakuwepo tume huru ya uchaguzi? Viongozi wote Wa upinzani wameshindwa kupeleka hili jambo mahakamani kazi ni kusema tuu kwenye vyombo vya habari... eti tunataka tume huru!! Kweli!! Kirahisi...
  5. M

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    ....amepoteza haki ya kufanya nini? Kwa nini ni mazuzu kiasi hiki? Mnawachukuliaje hasa Watanzania, kwamba ni watu wasio na uelewa, who need decisions to be made for them??
  6. M

    Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikra

    Nyirabu mkurya, kwao Tarime..anaanzaje kuwa Binamu ya Nyerere mzanaki Wa ikizu?
  7. M

    Membe, kwa jinsi Kigogo alivyommaliza na kumnyamazisha kabisa Musiba muwahi akulipe kabla hajajinyonga

    Mkuu,Remote, unaweza kunitupia link ya huko twitter...?
  8. M

    Jeshi la Polisi linaposhiriki vikao vya ndani vya CCM, unategemea litatenda haki kwa vyama vingine?

    Hivi...huwa mnavutishwa bangi kwanza halafu ndio mnakuwa released mje kuchangia mitandaoni?? Kwa nini mko wajinga sana kiasi hiki!!!???
  9. M

    Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Mkuu, na huyo aliyetowa lile jibu eti nae ni naibu waziri....vituko haviishi nchi hii.
  10. M

    Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Huwa tunakosea. TRA kazi yao ni kukusanya kodi tuu. Wanao weka viwango na idadi ya kodi ni serikali kwa kupitia wizara ya fedha. Hizi kodi na viwango vyake then vinapitishwa ns bunge. Bunge likishapitisha hapo ndipo TRA wanaanza kukusanya kwa kutumia kodi zilizopitishwa na bunge.
  11. M

    WABUNGE: Harambee ya kujenga vyoo imefikia wapi?

    Weka majibu yaliyotolewa basi...
  12. M

    Mwalimu wa hesabu natafuta kazi

    Please, yaani chukulia ushauri wake positively. You will be suprised.
  13. M

    ONE ACRE FUND

    Unaonekana ni ngo ya kusaidia watu kujikwamua... Fanya hivi: Nenda uliza malengo yao ni nini kwa wananchi. Je, wanataka kuwapatia raia funds za kudevelop one acre? Kwa nini usichukuwe hiyo funding ujiendeleze badala y kutaka kuwa a mere employee??
Back
Top Bottom