Search results

  1. P

    Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

    issue hapa ni kuboresha maisha ya watanzania na kuimarisha uchumi, sio kujaribu kuwaziba watu midomo kwa kisingizio cha uvunjifu wa amani. Walishasema watanzania wasahaulifu, wataichagua tu CCM 2015 , mbona wanahofu sasa? Waliviita vyama vya upinzani, vyama vya msimu , vipi msimu bado haujaisha?
  2. P

    Udsm watimuliwa rasmi

    Sasa kama hamna ushahidi inakuwaje tena kesi inaendelea?
  3. P

    Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

    Uwezo wa Dr. Slaa upo juu sana, ingekuwa enzi za ukoloni wangemfanya kama Mkwawa. Baada ya kufa wangechunguza fuvu lake kuona kama ni mtu wa kawaida au la! Anadeserve kuwa presida na sio vinginevyo.
  4. P

    Ngo! Ngo! Ngooo... Niingie hadi ndani?

    Karibu sana Babaubaya, lakini uje na uzuri ubaya uache nje.
  5. P

    Tafakari hii picha ni wewe enzi hizo

    Hayo mambo yapo, enzi hizo nipo nyumbani kijijini nilikozaliwa mnaamka mapema asubuhi kwenda kuchota maji kisimani, ukiona chemchemu haitoi maji kwa wingi unafunika na chombo ulichoenda nacho ili usiyaone na ukifunua yakiwa mengi unafurahiiiii!
  6. P

    Hodi hodi jamani!

    Hello guys! I am a new member in this forum and i would like to just greet you. i have decided to join this forum so that i can contribute something. Have a nice day people!
Back
Top Bottom