Search results

  1. U

    Waziri Prof. Ndalichako aibana NECTA kuhusu matumizi ya GPA

    Hili swala tukiangalia vizuri tutakuta lilifanywa kisiasa sio kitaaluma ili kuondoa aibu kwa serikali kwasababu walipokuwa wakitoa matokeo wanafunzi wengi walikuwa ni waliopata division za chini, wakaona wakitumia gpa itafichaficha picha halisi ya matokeo.
  2. U

    Simba Chidy Benz kwenda sauzi kurekodi albamu

    Kwa muda mrefu jamaa amekuwa kimya sana kwenye game, wacha tusubiri kazi atakazozitoa tuzione.
  3. U

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Magic Powder zina madhara gani wadau? Mimi nilizitumia miaka ya nyuma nikaacha sababu nilikuwa bado naendelea kutoka vipele.
  4. U

    Clouds TV mtafutieni Baby Kabaye kipindi chake tu peke yake kwani ana maarifa makubwa sana

    Au wamweke na Ephraim Kibonde kwasababu nae ans knowledge kubwa
  5. U

    Vigogo wauza unga wakamatwa

    Wana habari wanapotosha ili wauze magazeti ili hali wanajua hawa sio vigogo, watanzania tunataka kusikia mapapa wakikamatwa
  6. U

    Kamanda Suleiman Kova astaafu rasmi Jeshi la Polisi Tanzania!

    Kumbe leo ndio siku yake ya mwisho kazini.
  7. U

    TETESI: Kamanda Simon Sirro awa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es salaam

    Mbona hadi jana Kova alikuwa kazini? Sirro nilimuona ni mtu safi 2010 wkt wa kutangaza matokeo ya ubunge Nyamagana wakati huo alikuwa RPC wa Mwanza hakuwafukuza wananchi waliokuwa wanalazimisha matokeo yatangazwe.
  8. U

    Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    Nikiweka pembeni umamluki wake ktk upinzani, Zitto alikuwa mtendaji mzuri sana kwenye PAC.
  9. U

    Makampuni ya simu yapigwa faini kwa kukiuka

    Safi Mavunde. Aende na kwa kwenye viwanda wafanyakazi wanaonewa ktk masilahi yao.
  10. U

    Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

    Ina maana Mengi pamoja na hadhi yake, nyumba yake ipo eneo lisiloruhusiwa!!
  11. U

    Usafi wa Mwili: Kwanini taulo huwa linachafuka?

    Baada ya kuoga mara nyingi kuna seli mfu huwa zinabaki juu ya ngozi na huwa zina elea elea kutokana na hivyo mtu ukijifuta na taulo zina baki kwenye taulo na kulifanya kuwa taulo chafu
  12. U

    Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

    Kwanini dada yangu unapenda kuolewa na mkristo?
  13. U

    Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

    Wimbo wake mpya ni wa kawaida sana hasa kwa level aliyofikia na ukilinganisha na nyimbo zake za nyuma ila video ni nzuri na inaweza ikatamba kimataifa kwasababu watazamaji wa nje hawajui kiswahili kwahiyo wimbo utabebwa na video tu
  14. U

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hamadi Masauni alidanganya umri ikabidi ajiuzulu uvccm alafu hivi sasa anaonekana anafaa, siasa gani hizi! Ila kwa Dk Mpango na Dk Ndalichako nahisi ni uteuzi mzuri
  15. U

    Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

    Kwani Zizzou Fashion aliambiwa anauza ngada?
  16. U

    Matokeo Rwanda, kagame aruhusiwa kuendelea kugombea urais

    Kagame akiendelea kugombea naona Rwanda itaingia kwenye matatizo na nchi tajiri na hata kuwekewa vikwazo sababu marekani inapinga hili jambo na Rwanda itaathirika kwasababu ni nchi kama nchi zingine za Afrika ambazo ni dhaifu kiuchumi
  17. U

    Tetesi: Hatima ya kigogo wa polisi dar mikononi mwa kitwanga

    Tukumbuke Gwajima alipomuumbua kwa kusema mkenya aliyemkamata hausiki na kumtesa dk Ulimboka. Jerry Muro alipopata yale matatizo ya kudaiwa kuomba rushwa alisema Kova sio polisi.
  18. U

    Rais Zuma Afukuza Mawaziri Watatu ndani ya wiki moja

    Na hili jambo la kuteua watu wa tatu tofauti katika kipindi kifupi sana inaleta maswali kama Zuma ni kiongozi makini
Back
Top Bottom