Search results

  1. Wakubet

    Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

    Katika wasanii wanaoujua mziki basi kassim ni wa kwanza,hajawahi kukosea,ni msanii ambae huchoki kumsikiliza,in short ni icon ya muziki wa bongo!!í ½í²¯í ½í²¯
  2. Wakubet

    Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

    Hivi huyu nae vidio queen?? Kwa nyimbo zp??Yani huyu zake ni kubadili masela na kufakamia misosi km nguruwe pori hakana kazi zaidi ya kuselfie chooni!!!í ½í¸‚í ½í¸‚í ½í¸‚
  3. Wakubet

    Mchanganyiko wa asali na maziwa

    Hakuna yanachosaidia kwenye mfumo Wa mmeng'enyo Wa chakula???
  4. Wakubet

    Mchanganyiko wa asali na maziwa

    Naomba kwa mwenye kujua faida za kunywa maziwa yaliyo changanywa na asali.Je yanasaidia ugonjwa wowote Wa tumbo?Msaada tafadhali!!.
  5. Wakubet

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Vp ukichelewa kufanya usajili ndani ya mda uliopangwa inakuaje?maana m had mdaa huu sijaripoti.
  6. Wakubet

    UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Na watapigwa tu kwa kuwa hakuna namna inabd wapigwe tuu!
  7. Wakubet

    Kibongo bongo nani anaongoza kwa kuwa na tunzo nyingi

    Hilo n jibu dada mtangazaj uliza swali!!!.
  8. Wakubet

    Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    Thanx kwa ushauri wenu wakubwa,ntaufanyia kazi.
  9. Wakubet

    Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    Habari zenu waungwana. Nasumbuliwa na tatizo la kuwa na kizunguzungu mara kwa mara, hasa ninapokuwa nimekaa kwa mda nikisimama huwa nahisi kizunguzungu. Je hii inasababishwa na nini? na tiba yake ni ipi?
  10. Wakubet

    mchina aua mbwa wa 5 kwa kungfu

    Haya tuambie hadithi yako inatufundisha nini?,na ulisimuliwa na nani?
  11. Wakubet

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Hzo n za kulipia nn na nn?
  12. Wakubet

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    M nimechaguliwa BAF,Vp gharama za mwanzo ambazo napaswa kuwa nazo nikija kuripoti?.Naomba mchanganuo wake kwa anaejua.plizz!
  13. Wakubet

    MSAADA:-Hivi vyuo vingne vipi??

    Habari zenu wakuu.Mimi niliaply vyuo 4. 1-Ardhi 2-MUCCOBS 3-UDSM 4-Mzumbe.Sasa najaribu kutafuta majna ya hivi vyuo vingine siyapati maana udsm sjachaguliwa. Naomba kwa aliye na taarifa zaid kuhusu hivi vyuo 3 vilivyobaki anisaidie maana niko dilema.Ntashukuru kwa msaada wenu.
Back
Top Bottom