Search results

  1. S

    Dr. W. Slaa kwenye Channel 10; Pongezi zake!

    amemuliza kuhusu falsafa ya chama kama kawaida akamchambulia mpaka mwendesha kipind akamwambia aende polepole coz yeye ni mtu mwenye akil nying sana pili akamwambia kuhusu soko huria kwenye dunia hii ya sayans na technolojia akamjibu hiyo sera ilikuwa ni ya chadema toka 1992 so ccm waliikopi na...
  2. S

    Lema awasha moto Igunga

    tupatieni picha wataalam
  3. S

    Maandamano ya Amani Nchi Nzima

    babu wafanyakaz wamemwalika mei mosi kimakusudi il wasikilize pumba zake ndio watoe tamko.
  4. S

    ccm wachakachua vyombo vya habari?

    wadau mbona kwenye taarifa ya habari ya saa mbil sio tbc,startv,itv,chanel ten waliorusha mkutano wetu ulioongozwa na rais wangu slaa kule tabora.
  5. S

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    thanks endelea kutuhabarisha
  6. S

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    babu asante kwa kutujuza ila ningependa kama unge update rais wangu slaa na wapambanaji wengine wanasema nin
  7. S

    Uongozi UVCCM waombwa kujiuzuru

    Wadau nijuzeni mbona tbc shirika la umma linatuchakachua mbona hawarushi bunge.
  8. S

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    helow members jk na serikal yake wanataka kuliingiza taifa katika machafuko hamuoni kama mswada wa kuunda tume ya kukusanya maoni umegubikwa na hila na mizengwe kwa waliousoma plz
Back
Top Bottom