Search results

  1. Emmado

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Hizo perfume zote hapo zimeanzia USD 250- 500 kwa brand original.. But kwa zakupima ..dsm.. Kwa yule muirani kariakoo.. au Esmat zinapatikana kwa bei ya kupima kwa ujazo unaotaka..
  2. Emmado

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Nzuri sanaaa.. ni moja ya perfume zilizotulia na zina sweet smell
  3. Emmado

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    My best male Perfume 2023 1. Blue Channel 2. Percival 3. Baccarat Rouge 540 4. Hugo Energizer 5. One million 6. Lacoste essential 7. Invictus 8.Hugo boss 9. Black orchid 10. Pi Givenchy
  4. Emmado

    Series (Special thread)

    Banshee ni moja series kali sana … Huyo hacker ana series nyingine nadhani ya mwaka jana nayo inaonekana ni [emoji91]
  5. Emmado

    INAUZWA Asali Mbichi (Mamaland’s Organic Honey)

    Asante! Watu wapate first class honey!! Kwa majina mengine huitwa asali ya mezani (table honey!) Ni asali ambayo haina mchanganyiko wowote na vichafuzi.. Coz inapovunwa ni more than 40km kutoka makazi ya watu hivyo nyuki hawezi kusafiri umbali huo kufata vywakutengenezea asali.. Kwa faida ya...
  6. Emmado

    INAUZWA Asali Mbichi (Mamaland’s Organic Honey)

    Kutambua Asali mbichi unaweza kutumia mbinu zijuatazo rahisi.. 1. Chukua njiti ya kiberiti loweka kwenye asali kisha washa.. ikiwaka ujue asali hiyo ni halisi haijachanganywa na maji wala chochote. 2. Imimine kwenye glass ya maji asali halisi itashuka yote chini ya glass haitachanganyika na...
  7. Emmado

    INAUZWA Asali Mbichi (Mamaland’s Organic Honey)

    Kwa mahitaji yako ya asali mbichi … Asali hii kutoka katika msitu wa Kigosi … ni asali salama sana kutokana na kuvunwa mbali na makazi ya watu kwa zaidi ya Km 50… (Organic Honey)… Bei zake ni ~ 300gm = 4,000/= ~500gram = 6,000/= ~ 1000gram= 10,000/= ~ 1 litre = 12,000/= ~ 5 liters = 50,000/= ~...
  8. Emmado

    Mambo yanayowakimbiza Wanawake wengi pindi wanapotongozwa na Wanaume na kutoka nao kwa mara ya kwanza

    Moja tu hapo … Kutokua na hela baaasiiii… Hizo nyingine sio za miaka ya leo…
  9. Emmado

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Top excutive perfume za kiume ambazo hutajutia hela yako: 1. Percival 2. Bacarate 540 3. Hugo Enegizer 4. Eros Men 5. Lacoste Insential 6. Aqua de gio Profomo
  10. Emmado

    Msaada wakuu mtu amehack simu yangu

    Mkuu pole sanaa!! Kuna ka app flani kanaitwa ‘ ‘Android Phone control’ Haka ni hatari sadly kana kama mb 30.. Kanafanya kazi back ground kakiwa installed kwenye simu yako umekwisha coz .. Kanakua kanatuma copy ya mawasiliano yote kutoka kwenye simu yako ilimradi uwashe data umekwisha na kakiwa...
  11. Emmado

    Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

    Inawezekanaje Chalinze ikaizidi Geita… Soko la kodi inayokusanywa kwenye masoko ya dhahabu huu mkoa imejumuishwa..? Je uwekezaji mkubwa wa migodi mikubwa ya GGM na wenzake imewekwa pia maana hizo 9b naona kama ni ndogo sana… Kuna masoko na mji kama Katoro Geita na masumbwe nayo wamehesabu...
  12. Emmado

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Forester Xt .. Mi niseme hapo kwenye aina nipasemee kidogo coz zipo nyingi kwa gari moja … but iliyo bora kwangu ni moja tu ambayo ni full option … Kwa maaana… 1. Leather sit 2. Moon Roof 3. Turbo 4. I drive .. kwa maana ina button ya kuweka option za Sports, Sports#, na I-drive .. 5. Push...
  13. Emmado

    Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    Mtungooo!!! Nakumbuka mwaka flani nikiwa bado kijana mdogo nakula kwa shikamoo na kupata binti miaka yetu ilikua mtihani kidogo... kuna jamaa yangu walikua ni fundi sana wa kuwaset wadada then akiwa mgumu anatamanishwa hela kwamba aseme anataka bei gani.. kuna Mdada mmoja akaingia kingi kwa...
  14. Emmado

    Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    Wakuu we chepuka tu!! But fanya ufanyavyo usije ukachepuka na mchepuko wenye akili nyingi... Ipo siku utakuja kujuta na kujiona mjinga sana.. Nilikua najionaga PRO, MAMBA na majina yote ila nikaja nikakutana na nyangumi... aliniyumbisha kifamilia mpaka nikajuta... Inshort.. Nilipata Pisi...
  15. Emmado

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Dah!! Mimi nilipo maziwa fresh lita bei rahisi sana so natengeneza za maziwa matupu bila maji ... zipo vizuri sana tatizo soko lipo chini sana...
  16. Emmado

    Sex According to Your Astrology Sign

    Libra. .. uko wapi ? Leo needs you ..
  17. Emmado

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hizi ndio body type zinazonimaliza ... zinafanya nitende zambi sana...
Back
Top Bottom